Kauli ya Tundu Lissu kwamba kama akishinda asipotangazwa mshindi " Patachimbika", anamtisha nani na anamaanisha nini?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,898
141,836
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.

Je, ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?

Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ni kama wale wanaosema watakaochezea amani watakiona cha moto!Hivyo ni vitisho pia!

Sasa na Lissu anasema ole wao watakaovuruga uchaguzi!Atakayemwaga mboga basi na ugali lazima utamwagika!

Sanduku la kura liheshimiwe ili amani itamalaki!
 
Mtaa gani unaishi? Huku kwetu amani tele....tunauza midhahabu tuliyochimba wenyewe moja kwa moja sokoni bila kutumia walanguzi na madalali, nipe namba yako PM nikuwekee vocha! JPM Oyee, akimaliza 10 aongezewe 5!
Wewe mwenyewe yawezekana hali yako ngumu,JF inakubeba kwakuwa hujulikani!

Nikishawahi kumtambua member mmoja humu JF,majigambo yake ni tofauti kabisa na maisha yake!So skip that part kuhusu uwezo wako au kumpa mtu vocha!Ni ujinga tu na utoto unakutuma kunena hayo!
 
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.

Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?

Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.

Maendeleo hayana vyama!
Kosa kubwa sana,Nec wanaona aibu kumchulia hatua,ila anakiabisha chama chetu.
 
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.

Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?

Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.

Maendeleo hayana vyama!

Anatupa jiwe gizani pakiwa na mwizi likimkuta ataacha kuiba akimbie.

Pasipo kuwa na mwizi nako sawa,Bwashee unaogopa nini hiyo kauli? Au upo kwenye master plan ya kumtangaza jiwe hata asipo shinda?
 
Mtaa gani unaishi? Huku kwetu amani tele....tunauza midhahabu tuliyochimba wenyewe moja kwa moja sokoni bila kutumia walanguzi na madalali, nipe namba yako PM nikuwekee vocha! JPM Oyee, akimaliza 10 aongezewe 5!
Dhahabu unajua inachimbwaje?
 
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.

Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?

Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.

Maendeleo hayana vyama!
Amani ya uonevu wala hatuitaki tena!
 
Ni kama wale wanaosema watakaochezea amani watakiona cha moto!Hivyo ni vitisho pia!
Sasa na Lissu anasema ole wao watakaovuruga uchaguzi!Atakayemwaga mboga basi na ugali lazima utamwagika!

Sanduku la kura liheshimiwe ili amani itamalaki!
Kutii sheria ni muhimu,acha ushabiki wa siasa za kibwege. Sheria ni maandiko yenye uhai,utavunjwa kiuno uwe unakunya kwenye kidoo.
 
Back
Top Bottom