Uchaguzi 2020 Karatu, Manyara: Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu (Sept 29, 2020)

dikteta2020

JF-Expert Member
Aug 14, 2018
595
3,990
Karatu imesimama muda huu na habari ni Tundu Lissu

Picha: Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano kupitia CHADEMA akipita Karatu kuelekea wilayani Hai ambapo atakuwa na mkutano wa kampeni kesho. Umati mkubwa wa watu unejitokeza barababrani kumsalimu huku akitarajiwa kurejea Karatu siku za baadaye kwa mkutano wa kampeni.
EjFXeQ9X0AAaVwv.jpg


EjFXepVWsAMp8Fy(2).jpg


EjFZpbIXcAMhfdR.jpg
 
Watawala, kaeni mkijua wananchi mmechoka. Mnayoyafanya ni kuwatia wananchi hasira na kumpandisha Lissu. Polisi, Tiss, Tume ya Uchaguzi, na Msajili. Rudini kwa wananchi kabla ya muda kuisha. Mtajuta sana kwa madhambi yenu maana mwaka huu hakuna kuiba kura

Siku ya kufa kwa nyani kila mtu unateleza. CCM yangu naichinja rasmi kutokana na manyanyaso niliyoyapata chini ya CCM, Polisi na Magufuli...

Hiyo yomi ni ya 1925...lol
 
Back
Top Bottom