Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huu wimbo sio rafiki kabisa. Umekaa kama vile unakejeli makundi mbalimbali ya wananchi walioathirika na utawala wa awamu ya tano. Wepi mnataka waendelee kuisoma namba? Je, ni wananchi waliopigwa...
15 Reactions
44 Replies
6K Views
NEC najua hapa JamiiForums mpo na 'mnanikodolea' zenu huku wengine hata mkiwa 'mnaninunia' pengine kwa 'Kuwasema' Kwangu ila nina bahati mbaya moja tu Mimi ni kama Bahari ambayo daima huwa haikai...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa. Mkurugenzi wa...
29 Reactions
867 Replies
71K Views
Wajumbe mnasemaje? Mwaka huu, uchaguzi wa mwaka huu ni kweli kabisa dalili zipo wazi kuwa mwaka huu ni kupatwa kwa CCM. Lissu tayari ameshashinda na kwa ujumla wananchi walio wengi wameshaishinda...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Watu wenye vifijo na bashasha za kila aina wamemsubiri Tundu Lissu tangu asubuhi uwanja wa Mashujaa. Hawataki kunyamazishwa na mtu waimba rais, rais, rais duh Lissu ni ana mvuto...
10 Reactions
31 Replies
5K Views
Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya Uwanja umefurika wananchi wa itikadi mbalimbali na bendera zao hakika siasa siyo Uadui. Viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili...
10 Reactions
220 Replies
28K Views
Salaam Utafiti wangu mdogo unanionyesha kwamba CCM itashinda kwa kishindo sana kwenye uchaguzi huu, na kupata kura nyingi sana kutoka kwa makundi haya 1. Wale waathirika wa bomoa bomoa kimara...
9 Reactions
12 Replies
2K Views
Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amemuonya Kassim Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi . Kwa...
77 Reactions
309 Replies
31K Views
1. Ningeaziga jeshi la polisi na vyombo vya dola vifanye uchunguzi na kuwasaka wote waliofanya jaribio la mauaji ya Lissu. 2. Ningewaamuru Polisi wasiwapige mabomu wapinzani. 3. Ningefuta sheria...
14 Reactions
33 Replies
3K Views
*KINABO KUUNGURUMA MTAMBANI KESHO* Mgombea Ubunge Jimbo la Kibaha Vijijini (CHADEMA), KINABO EDWARD, leo ameendelea kuyafikia mamia ya wananchi wa mji wa Mlandizi, Kata ya Mtongani kupitia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana bodi, Hivi karibuni mgombea wa urais kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu ali amrishwa na tume ya uchaguzi ku hudhuria mkutano unao jumuisha kamati ya maadili...
0 Reactions
3 Replies
871 Views
Ni jambo la kushangaza sana kuona hadi msemaji wa Ikulu kwenye ukurasa wake wa Instagram na Twitter akipost wasanii watakaokuwepo kwenye kampeni za Magufuli. Inastaabisha sana kuwekeza nguvu...
10 Reactions
10 Replies
2K Views
Tumemsikia Mkurugenzi wa NEC akitoa tuhuma dhidi ya mgombea urais wa chadema kwamba anakiuka maadili ya uchaguzi, lakini hatujamsikia akiongelea upande wa pili wa Dkt. Magufuli. Sisi kama wananchi...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
NICHAGUENI OKTOBA 28,NIWE RAIS NIUNDE SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA" USHETU, SHINYANGA. Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi, kutokuaminiana, chuki...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kinachokanushwa ni alichoongea Lissu hapa: Uchaguzi 2020 - Mgombea Urais kukutana na wasimamizi wa uchaguzi kipindi cha Kampeni inakubalika kisheria?
2 Reactions
62 Replies
10K Views
NICHAGUENI OKTOBA 28,NIBORESHE MASLAHI YA WALIMU" PROF.LIPUMBA" SHINYANGA Mgombea Urais CUF, Prof.Ibrahim Lipumba amesema atakapoingia madarakani atarekebisha muundo wa elimu na kuboresha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
KASI YA DKT MAGUFULI NI YA LOCKHEED Na Elius Ndabila Mh Dkt John Magufuli ambaye ni mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi speed yake kuelekea uchaguzi wa October 28 mwaka huu ni sawa ndege...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuelekea Maadhimisho ya Nyerere Day tarehe 14.10.2020. Akiwa kama muasisi na Baba Wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere anakumbukwa kwa mengi aliyoyafanya . Likiwemo la kusaidia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanabodi Salaam. Nimejikuta najiuliza swali ghafla mbona simuoni wala kumsikia Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi ambae pia ni mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia chama chake, na zaidi akiwa ni mbunge...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…