Tukiwa tunamalizia nusu ya kwanza ya kampeni, Lissu anazidi kujisafishia njia ya kuwa mgombea wa kwanza katika historia ya nchi yetu na penginepo kwenye ulimwengu wa siasa za kiushindani, kuweza...
Mgombea urais wa Zanzibar kutia chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, ameendelea na kampeni zake katika kisiwa cha Pemba kwa ajili ya kuomba kura ili kupata nafasi ya kuongoza...
Mabeberu katika nyakati tofauti yametoa onyo la ukiukwaji wa haki za raia kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu.
Na leo hii Lissu anaongea na Mabalozi wa mabeberu jijini Dar.
Kwa kuwa...
Katika dunia ya leo watu wanaishi kwa kutegemeana sana na Tundu Lissu yuko sahihi kabisa kwa kusema sisi tunawahitaji "mabeberu" zaidi kuliko wao wanavyotuhitaji sisi.
Halafu hao "mabeberu" wana...
Nimeona video ya mgombea mwenza wa CHADEMA akipigwa mabomu kisa kusimama na kuwasalimia wananchi. Roho imeniuma sana.
Nilikuwa nikiona watu wanajivisha mabomu na kwenda kulipua sehemu nilikuwa...
Sera ya Magufuli kuwasakama wapinzani na kubinya haki za kiraia na kidemokrasia pia mipango mibaya ya kiuchumi kuiangamiza nchi hiyo iliyokuwa mfano wa kuigwa Afrika
Kulikuwa na dalili Africa...
Je, jeshi la Polisi wanaheshimu viongozi wa Chadema?
Je, IGP Sirro anawaheshimu viongozi wa Chadema; anamheshimu Tundu Lissu?
Tatizo nililoliona ni jeshi la polisi kutokuheshimu viongozi wa...
Ila wamesahau haya:
Mathayo 6:5 NEN
“Nanyi msalipo, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu. Amin nawaambia...
Ukiacha swala la Lissu kuwa ndio anaetakiwa kuwa addressed kwenye hiyo barua pamoja na kasoro/makosa ya kiuandishi yanayoonekana katika barua ambayo CHADEMA wameandikiwa na Jeshi la Polisi...
Kuna ukiukwaji mkubwa wa maadili ya uchaguzi unaofanywa na mgombea wa urais kupitia CCM. Ukiukwaji huu ni pamoja na matumizi ya lugha za kikabila, vitisho, kutoa rushwa ya ujenzi wa barabara, nk...
Katiba inaweka muhula wa urais ni miaka mitano. Rais Magufuli unahangaika ili uongeze muhula wa pili. Siyo lazima uendelee kuwa rais. Umeshatimiza matakwa ya katiba kwa miaka mitano inatosha na...
Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Wakati jitihada za kuzuia mafuriko zinaonekana tokea kwa wateuliwa tusiache kutoa pongezi panapostahili.
Bwana Membe hongera:
Mabwana Sirro, mahera na msajili...
Sasa ni dhahiri kuwa hali ya maisha Tanzania inakatisha tamaa. Ni ngumu mno kiwango cha juu kinachokera na kuumiza.
Pamoja na ulofa mtu aliokuwa nao lakini tangu aamke asubuhi mpaka jioni atakuwa...
Kutokana na ukubwa wa simba na yanga pale unapoanza mgogoro baina yao huwa unachukua hisia za watu wengi sana.
Je, katika kipindi hiki ambapo Wakili msomi Tundu lissu anafanya vizuri kwenye...
Wananchaama na wafuasi wengi wa vyama vya upinzani ukiwa msema ukweli na mpinga ufisadi basi wanakuona wewe ni mpinzani na kwa upande mwingine si MWANA CCM kisa tu unasimamia ukweli.
Kama...
Kwa kadri ya macho yangu Mkutano huu wa kata ya Machame waweza kuwa umevunja rekodi ya mikutano ya kisiasa iliyowahi kufanyika kwenye jimbo la Hai.
Hakika kumtoa mtu huyu kwenye jimbo hili...
Dunia nzima imemsikia mgombea wa CCM akitoa kauli za kibaguzi na kishetani kabisa. Viko wapi jumuia za kimataifa pamoja na wawakilishi wao nchini kukumea. Mnasubiri watu waumizane na kumwaga damu...
Hongereni na harakati za uchaguzi mkuu.
Tumeshuhudia ulaghai wa wazi wazi, ahadi / rushwa na masimango kutoka kwa wagombea.
Tumeshuhudia kauli za ubaguzi dhidi ya watu wenye mlengo fulani, kuwa...