Katiba inaweka muhula wa urais ni miaka mitano. Rais Magufuli unahangaika ili uongeze muhula wa pili. Siyo lazima uendelee kuwa rais. Umeshatimiza matakwa ya katiba kwa miaka mitano inatosha na ninakushauri upishe vijana wenye maono na nguvu waendeleze ulipoachia.
Magufuli jiandae kisaikolojia kuwa rais wa kipindi kimoja, na sio dhambi. Ninakuomba uitunze amani yetu kwa kuwaelekeza wateule wako wa NEC, POLISI, MSAJILI, nk kutenda haki.
Magufuli jiandae kisaikolojia kuwa rais wa kipindi kimoja, na sio dhambi. Ninakuomba uitunze amani yetu kwa kuwaelekeza wateule wako wa NEC, POLISI, MSAJILI, nk kutenda haki.