Uchaguzi 2020 Yawezekana kampeni za Lissu zikawa za kipekee kwenye ulimwengu wa vyama vingi duniani

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,600
Tukiwa tunamalizia nusu ya kwanza ya kampeni, Lissu anazidi kujisafishia njia ya kuwa mgombea wa kwanza katika historia ya nchi yetu na penginepo kwenye ulimwengu wa siasa za kiushindani, kuweza kufanya kampeni pasipo kuwa hata na bango moja lenye sura yake.

Hii ni record ya aina yake, Lissu anazidi kutisha na anaendelea kuwa msumari mkali kwa CCM kadri sekunde zinavosonga.

Kupitia uchaguzi huu, Lissu ametupa somo kubwa sana ambalo litaathiri sina siasa za vipindi vijavo, MABANGO sio njia ya lazima ya kupiga kampeni.

Hakika nimeamini LISSU anaenda kuleta ukombozi kwenye taifa hili.

Aluta continua!!!!!

CCM kamwe huu mziki wa 2020 hamtauweza maana mnapambana na mbeba maono ambaye anazidi kuweka record kila uchwao.
 
Naombeni kura wanangu...!
20200930_142059.jpg
 
Tukiwa tunamalizia nusu ya kwanza ya kampeni, Lissu anazidi kujisafishia njia ya kuwa mgombea wa kwanza katika historia ya nchi yetu na penginepo kwenye ulimwengu wa siasa za kiushindani, kuweza kufanya kampeni pasipo kuwa hata na bango moja lenye sura yake...
Hahahaha Ndio Mabango Hayana Umuhimu Ila Tarehe 28/10 mtatamani kama mngekuwa na Mabango Subilini kama hamjaja na kaunza kulalamika Humu Humu Hamkawiii
 
Wale wa kijani walibandika bango lao kubwa getini kwangu juzi nikawaambia toa sina nasaba na chama chochote wakaleta viswahili vingi nikasema toa wakatoa bango lenyewe lilikuwa na jamaa mmoja mweupe pembeni ya mh Magufuli ambaye kwa miaka 10 hajafanya chochote kwenye kata yangu, hakuna zahanati, maji wala umeme halafu anaomba mitano tena ya ubunge sijui halmashauri kuu ilimpitishaje, bungeni yeye hana hoja yeye ni kupiga makofi tu.
 
Tukiwa tunamalizia nusu ya kwanza ya kampeni, Lissu anazidi kujisafishia njia ya kuwa mgombea wa kwanza katika historia ya nchi yetu na penginepo kwenye ulimwengu wa siasa za kiushindani, kuweza kufanya kampeni pasipo kuwa hata na bango moja lenye sura yake...

Ni kampeni za kipekee - KWELI, badala ya kunadi Sera anagombana na Mamlaka ambazo yeye anaomba awe kiongozi!

Hii ni record ya aina yake, Lissu anazidi kutisha - KWELI, badala ya kuhubiri amani kwa wananchi ambao anawaomba awe kiongoxi wao yeye anahubiri chuki, fitina na visasi!

Lissu ametupa somo kubwa sana ambalo litaathiri sina siasa za vipindi vijavo - KWELI, kwamba kumbe jukwaa la kisiasa laweza kubadilishwa kuwa mahakama!

Hayo yote tisa, kumi ni tarehe 28/10/2020, wananchi wapiga kura watakapotumia uhuru na haki yao kuchagua viongozi:
√ waliohubiri amani wakati wa kampeni;
√ wanaoaminika kuwa watawawekea mazingira ya kuondokana na umaskini;
√ watakaoshirikiana nao katika shughuli za maendeleo;
√ watakao kuwa nao wakati wa shida na raha (km mlipuko wa ugonjwa);
√ wenue dhamira ya dhati kulinda rasmali na maliasili ya taifa kwa vizazi vya sasa na vinavyokuja;
√ wenye rekodi iliyotukuka ya utendaji wa mfano kijamii;
√ wacha Mungu na kumtumainia.
 
Tukiwa tunamalizia nusu ya kwanza ya kampeni, Lissu anazidi kujisafishia njia ya kuwa mgombea wa kwanza katika historia ya nchi yetu na penginepo kwenye ulimwengu wa siasa za kiushindani, kuweza kufanya kampeni pasipo kuwa hata na bango moja lenye sura yake...
Maccm wanafanya kampeni kwa mazoea wakdhani bado tupo miaka ya 90
 
Tukiwa tunamalizia nusu ya kwanza ya kampeni, Lissu anazidi kujisafishia njia ya kuwa mgombea wa kwanza katika historia ya nchi yetu na penginepo kwenye ulimwengu wa siasa za kiushindani, kuweza kufanya kampeni pasipo kuwa hata na bango moja lenye sura yake.

Hii ni record ya aina yake, Lissu anazidi kutisha na anaendelea kuwa msumari mkali kwa CCM kadri sekunde zinavosonga.

Kupitia uchaguzi huu, Lissu ametupa somo kubwa sana ambalo litaathiri sina siasa za vipindi vijavo, MABANGO sio njia ya lazima ya kupiga kampeni.

Hakika nimeamini LISSU anaenda kuleta ukombozi kwenye taifa hili.

Aluta continua!!!!!

CCM kamwe huu mziki wa 2020 hamtauweza maana mnapambana na mbeba maono ambaye anazidi kuweka record kila uchwao.
Chama chetu hakina pesa,Mbowe alizitafuna zoote.
 
Tukiwa tunamalizia nusu ya kwanza ya kampeni, Lissu anazidi kujisafishia njia ya kuwa mgombea wa kwanza katika historia ya nchi yetu na penginepo kwenye ulimwengu wa siasa za kiushindani, kuweza kufanya kampeni pasipo kuwa hata na bango moja lenye sura yake...
Wakati wa Augustino lyatonga mrema ulikua umezaliwa?

Za Dr Slaa na Lowassa je uliziona?
 
Naombeni kura wanangu...!View attachment 1585912
Ni baba mpumbavu pekee kama stone anayeweza kusifiwa kwa kumnunulia mkewe Iphone X lakini aliacha mwanae akafa kwa kukosa laki moja ya matibabu. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 8[1](a) inasema "Lengo kuu la serikali litakuwa ni ustawi wa (wananchi) WATU sio ustawi wa VITU. Asomaye na afahamu.!
 
Back
Top Bottom