Barua ya Polisi kwenda CHADEMA: Hivi anayepaswa kuandikiwa barua ni Mwenyekiti au Katibu?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
42,904
2,000
Ukiacha swala la Lissu kuwa ndio anaetakiwa kuwa addressed kwenye hiyo barua pamoja na kasoro/makosa ya kiuandishi yanayoonekana katika barua ambayo CHADEMA wameandikiwa na Jeshi la Polisi, kingine cha kujiuliza ni nani kati ya Mwenyekiti wa chama na Katibu Mkuu wa chama anaestahili kuwa addresed kwenye barua zinazopelekwa kwenye chama.

Je,ni Mwenyekiti au Katibu?

Na je,wito wa Polisi huwa ni jambo la siri?

Kama ni jambo la siri ,Lissu angekuwa majinga kiasi gani mpaka asambaze document hiyo yenye muhuri wa siri mitandaoni ili hali sheria ya mitandao inakataza?

Naamini Lissu ameshagundua udhaifu fulani kwenye hiyo barua na ndio maana kaamua hata kuisambaza barua hiyo mitandaoni licha ya kugongwa muhuri wa siri.

Time will tell
 
Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
5,514
2,000
Anaye takiwa kuandikiwa ni Lissu siyo Mbowe wala Mnyika. Lissu ni mtu mzima. Kama amefanya kosa kwa nini wito upelekwe kwa mtu mwingine. Hawa jamaa wanalazimishwa na Jiwe kumshughulikia Lissu lakini hawataki. Kwa hiyo wanajifanya kufanya makosa kama hayo ili kumpa Lissu loopholes za kuzidi kutesa. Na wao pia wamemchoka Jiwe.
 
Hili jambo hata mimi limenijia kichwani mwangu kuwa huenda wanafanya hivi sio kama hawajui taratibu na sheria kwa kiwango hicho ,bali huenda hata wao hawapendi.

Tukumbuke Lissu anatetea hata stahiki za hawa Polisi likiwemo swala la kikokotoo kuanzia 2021 iwapo Magu atarudi ofisini.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
47,003
2,000
Ukiacha kasoro/makosa ya kiuandishi yanayoonekana katika barua ambayo CHADEMA wameandikiwa na Jeshi la Polisi,kingine cha kujiuliza ni nani kati ya Mwenyekiti wa chama na Katibu Mkuu wa chama anastahili kuwa addresed kwenye hiyo barua.

Je,ni Mwenyekiti au Katibu?

Na je,wito wa Polisi huwa ni jambo la siri?

Kama ni jambo la siri ,Lissu angekuwa majinga kiasi gani mpaka asambaze document hiyo yenye muhuri wa siri mitandaoni ili hali sheria ya mitandao inakataza?

Naamini Lissu ameshagundua udhaifu fulani kwenye hiyo barua na ndio maana kaamua hata kuisambaza barua hiyo mitandaoni licha ya kugongwa muhuri wa siri.

Time will tell
Mbowe ni mwenyekiti mtendaji!
 
Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
16,070
2,000
Anaye takiwa kuandikiwa ni Lissu siyo Mbowe wala Mnyika. Lissu ni mtu mzima. Kama amefanya kosa kwa nini wito upelekwe kwa mtu mwingine. Hawa jamaa wanalazimishwa na Jiwe kumshughulikia Lissu lakini hawataki. Kwa hiyo wanajifanya kufanya makosa kama hayo ili kumpa Lissu loopholes za kuzidi kutesa. Na wao pia wamemchoka Jiwe.
Exactly,hilo ndilo nimehisi kuwa hapa kuna sabotage ya makusudi kabisa dhidi ya Jiwe.
 
mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
4,812
2,000
Kwani polisi wao hawataki Lissu ashinde mishahara ipande?
Siro anaelekea kustaafu kwani haogopi kikokotoo?

Lissu anapendwa mioyoni hivyo polisi wakiongozwa na siro wamechoma makusudi hiyo
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
47,003
2,000
Unajifanya kuleta utani baada ya kugundua makosa ya Polisi ambayo yanatupa mashaka fulani kama kweli walikuwa hawajui au wana lao jambo.
Kwa katiba ya Chadema barua zote zinaelekezwa kwa mwenyekiti.

Ingekuwa CCM ndio angeandikiwa Bashiru!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom