Hoja dhaifu juu ya Gwajima lini alikuwa mwana CCM-usiachie mwiba unawachoma

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
Wananchaama na wafuasi wengi wa vyama vya upinzani ukiwa msema ukweli na mpinga ufisadi basi wanakuona wewe ni mpinzani na kwa upande mwingine si MWANA CCM kisa tu unasimamia ukweli.

Kama utakuwa mfuatiliaji wa hotuba mbali mbali na makemeo ya Mgombea wa CCM Jimbo la kawe utagundua ujasili wake katika kukemea maovu yanayokwamisha utekelezaji wa Maendeleo ya wananchi hiyo imepelekea kuonekana kuwa ni mpinzania lakini yeye ni mwana CCM zaidi ya wewe ulivyoanza kuwa CHADEMA au CUF au NCCR-Mageuzi maana wengi mtakuwa mlijiunga na upinzani miaka ya 2000 lakini Gwajima ni mwanaCCM kindaki ndaki wa muda mrefu na ameshiriki katika mikakati mbalimbali ya kukipigania chama.

Hivyo niwatowe hofu Gwajima so mpinzani na hajawahi kuwa mpinzani sababu ya uelewa mdogo wa baadhi ya wafuasi wa upinzani wasiojua harakati na historia ya mageuzi watakuwa wanafikiri Kama Gwajima ni mpinzani lakini ukweli si mpinzani.

Ukisema hivyo naomba mtujibu lini Nyalandu, Dr.Wilbrod Slaa, Godbless Lema, Freeman Mbowe, TUNDU LISU wamerudisha kadi za CCM na kujiunga upinzani maana kwenye rekodi bado ni Wana CCM ambao kadi zao hawazilipii kwa muda mrefu

Mfano kwenye rekodi TUNDU LISU kadi yake Mara ya mwisho inaonyesha amekoma kuililia 2002 Sasa huyu tunamuita Mpinzani au kibaraka wa CCM.

Pia kunawakati Dr. WILBROD SLAA alisema kadi take ya CCM na TANU zipo na anazilipia Hadi kesho alitamka akiwa CHADEMA

Hivyo msiyumbe kwa misimamo ya mtu mkayabepa kuwa ni mpinzani

GWAJIMA AMEWASHIKA PABAYA KAWE
 
Yawezekana wewe ni mfupi na akili yako ikawa hivyo hivyo. Tundu Lissu alikua NCCR Mageuzi mpaka mwaka 2000 hajawahi kua CCM.Mbowe tangu CHADEMA unasaidiwa ndio walikua wanachama wa kwanza kujiunga akiwa kijana mdogo sana, hakuwahi kua CCM.

Hizo pesa mnazolipwa na huyo Askofu wenu fake sijui hamumuonei huruma
 
Yawezekana wewe ni mfupi na akili yako ikawa hivyo hivyo. Tundu Lissu alikua NCCR Mageuzi mpaka mwaka 2000 hajawahi kua CCM.Mbowe tangu CHADEMA unasaidiwa ndio walikua wanachama wa kwanza kujiunga akiwa kijana mdogo sana, hakuwahi kua CCM.

Hizo pesa mnazolipwa na huyo Askofu wenu fake sijui hamumuonei huruma
Kwavile wewe umezoea kulipwa kwa kutetea uovu unadhan na wenzako wako hvyo acha ujinga wewe
 
Nakuunga mkono ndugu mwandishi ni kweli watu wanashindwa kutofautusha kati ya kuwa mwanachama na kuusimamia ukweli bila kuangalia upo upande gani na kama viongozi wote wangekuwa kama gwajima basi hii nchi ingekuwa mfano wa kuigwa na mataifa mengine
 
Sisi tumekwenda ccm kwa sababu hatujaenda kuuza sura kule tumeona mambo anayotufanyia magu ni mazuri
Na hata gwajima usishangae yy kuwa ccm
 
Gwajima baba laooooooooo,jani ni ngumu na huwezi kumjua huyu jamaa akili yake wapinzani wamepagawa hawana hata hoja.
 
Gwajima ni mwana chama kindakindaki wa CCM hata wao wanalijua hilo alivyo wasaidia 2015 wakanogewa wakajua na mwaka huu watasaidia badala yake kibao kimegeuka wanatokwa hadi na jasho la kwapa.
 
Watu wasiolewa hawapaswi kueleweshwa hahah Gwajima na Kawe ndiyo habari ya mjini tunaenda na CCM na Gwajima mleta maendeleo
 
Hakika Gwajima anafaaa sana kwa jamii yetu kawe tunaenda na gwajima
IMG-20200930-WA0081.jpg
 
Kawe tunakwenda na Gwajima tu hata wakisema yao sisi hatujali tunajua Gwajima ni mwana CCM na ana kadi ya CCM anayoilipia kila mwezi.
 
Back
Top Bottom