Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimewasikia wananchi wa eneo moja huko Mufindi kama sikosei kwenye mkutano wa ndugu Tundu Lisu kuwa hawana barabara pamoja na maji na wamesema wanaomba akichaghuliwa awatengenezee hivyo vitu...
27 Reactions
114 Replies
10K Views
Chama kikuu cha upinzani Tanzania Chadema kinapuuzia matokeo ya utafiti wa taasisi ya Trends Dynamiques Consulting yanayoonesha asilimia 79 ya wapiga kura wakisema, watamchagua John Magufuli kama...
0 Reactions
1 Replies
976 Views
Kuna wagombea wanajipitisha pitisha kututishia kwamba tusipowachagua basi hawataleta huduma muhimu za kijamii kwenye maeneo yetu. Wanaosema haya wameongoza nchi hii tangu uhuru hadi leo lakini...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Tundu Lissu huwa anawaambia polisi namna hii:- i/ "Nyie polisi nyie najua mnamiaka mitano sasa hamjaongezewa mishahara hivyo mna maisha magumu sana. Mimi nikiapishwa kuwa Rais wote nitawaongezea...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Ukweli uwekwe wazi. Kazi kubwa aliyoifanya Magufuli kuiongoza Serikali kufikia malengo yenye mafanikio ikiwemo la kufika Uchumi wa Kati kabla ya 2025 ni wazi amejitengenezea maadui wengi waa...
8 Reactions
35 Replies
3K Views
30 September 2020 WAZEE WA CHAMA CHA CHADEMA WATOA ONYO KALI KWA SERIKALI YA MAGUFULI NA JESHI Huu wa Uchaguzi Mkuu 2020 vyama vimeamua kusimama kidete na kusema basi dhidi ya chama-dola cha CCM...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Vyama hivi viliweka wagombea wa kumpigia kampeni Magufuli ili wapate asante ya uteuzi. Sasa bila kutarajia dili limeharibika pale ACT na CHADEMA walipoanza kuungana mkono. Kwa CCM mara mia...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
The history of Tz politics On 28/10 the coalition and federation of unity and solidarity will be on our hands. No justice no peace No free and fair election no Election No Lissu as president no...
0 Reactions
2 Replies
700 Views
Nguvu ya machifu wa makabila mbalimbali imekuwa kubwa kipindi hiki cha kampeni. Kila mgombea anatamani abarikiwe na hawa Jamaa. Nisichoelewa ni kama uchifu bado unatambulika kwa kiwango gani cha...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
"kama bango umeweka kwenye nyumba ya mtu awe ameridhia kama hajaridhia ni kosa"- Monica Mnanka, Mkurugenzi Msaidizi wa elimu ya mpiga kura kutoka NEC. EastAfricaRadio Kuna 'Mijitu' imekuja...
22 Reactions
23 Replies
3K Views
NITAHAKIKISHA WAKULIMA WA PAMBA WANALIPWA FEDHA ZAO"PROF. LIPUMBA" MASWA, SIMIYU Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof.Lipumba amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa rais...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naona mnalalamika Sana kauli za mgombea anayejiamini kushinda kuwa akiwekewa mtu wa chama kingine haleti maendeleo. Kampeni Ina Visa na Mikasa yake. Kulalamikia kauli hizo NI kukili hamta shinda...
1 Reactions
3 Replies
980 Views
Kumekuwape na matamko makali ya pllisi mahala mahala hasa mara baada ya round ya kwanza ya mgombea wa CCM,hasa pale inapotokea makosa ya kiufundi yamefanyika kama kule Moshi na Tarime. Kimsingi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
.. Pia nimefuatilia kauli zake za uchangiaje bungeni ni mbunge pekee aliyewahi tumia neo "spinning" kwenye uchangiaji wake kama alivyolitumia neno hilo kwenye ukurasa wake wa "instagram"...
3 Reactions
36 Replies
6K Views
Mwaka 2015 CCM ilinisurika kufa kwa inchi kadhaa Tangu wakati huo wakaweka kiongozi (John Pombe Magufuli) ambaye systematically alianza kuichinja na kuandaa mazishi yake taratibu mwaka huu 2020...
9 Reactions
12 Replies
3K Views
Jana akiwa njiani kuelekea Moshi Lissu alifanya kampeni gizani huku wananchi wakiwasha simu na tochi zao kupata mwanga sasa je haya si kwamba anafanya makusudi ili akidhurika ailaumu serikali...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Lissu na Mbowe mara kadhaa nimewasikia wanamshambulia Mbatia na NCCR hadharani. Pia jana nimemsikia Mbowe akiwaita wabunge waliohamia NCCR kutoka CHADEMA kuwa ni wasaliti. Pia Lissu anawaita...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Fellow tanzanians, please watch this video and let it enlighten your mind. Magufuli is leading our nation to the highest glory. Amani Msumari Tanga
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA amesema ni muhimu maamuzi yaweze kuwa ya wananchi na sio kwa Rais kama ilivyo hivi sasa Amesema kwa sasa mbunge anapaswa kuomba kwa...
12 Reactions
41 Replies
5K Views
Back
Top Bottom