Uchaguzi 2020 Msafara wa Mgombea Mwenza CHADEMA, Salum Mwalimu wapigwa mabomu Ifakara

Msukuma Original

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
928
3,330
Nimeona video ya mgombea mwenza wa CHADEMA akipigwa mabomu kisa kusimama na kuwasalimia wananchi. Roho imeniuma sana.

Nilikuwa nikiona watu wanajivisha mabomu na kwenda kulipua sehemu nilikuwa nashindwa kuelewa kwa nini mtu anafikia hatua hiyo, ila sasa nimeelewa kwa nini watu hujitoa muhanga.

Rais Magufuli anapita kila sehemu na kusalimia watu lakini hakuna wa kumgusa. Polisi mnahatarisha amani ya nchi.
 
Naona raia sa hivi hata hayo mabomu ya machozi hawaogopi tena.Yanapigwa wao wako zao tu kama hamna kinachoendelea.
Utakua hujawahi kua eneo linalopigwa bomu la machozi. Siamini kama yanavumilika.
 
Jana mkurugenzi wa tume ya taifa ya uchaguzi alisema yeye na IGP wamevumilia sana sasa polisi wataanza kupiga mabomu ndo utekelezaji huo umeanza kwa amri ya Mkurugenzi wa tume ya taifa ya uchaguzi.

Kama mgombea ana mkutano katika jimbo au wilaya fulani inamaana katika jimbo au wilaya hiyo anahaki ya kuongea na jimbo au wilaya nzima, ndiyo maana wagombea hawaingiliani sasa sijui Mkurugenzi wa tume ya taifa ya uchaguzi anaumia nini na ni kwa vyama vya upinzani tu, ccm hilo haliwahusu wao mikutano ni kila mahali popote na mda wowote.
 
Nimeona video ya mgombea mwenza wa CHADEMA akipigwa mabomu kisa kusimama na kuwasalimia wananchi. Roho imeniuma sana. Nilikuwa nikiona watu wanajivisha mabomu na kwenda kulipua sehemu nilikuwa nashindwa kuelewa kwa nini mtu anafikia hatua hiyo, ila sasa nimeelewa kwa nini watu hujitoa muhanga. Rais Magufuli anapita kila sehemu na kusalimia watu lakini hakuna wa kumgusa. Polisi mnahatarisha amani ya nchi.
Gusa unase.
 
Nikiwa Arusha ilikuwa vitu vya kawaida sana, dawa yake chupa ndogo tu ya maji unakuwa nayo kwishaa.

Ukihudhuria mkutano wa Chadema unabeba maji ya dharura, ukiwaangalia wakazi wa Arusha kwenye mkutano utaona wanayo.
Aisee labda hivyo.
 
Back
Top Bottom