Uchaguzi 2020 Video: Mapokezi ya Mbowe yatikisa kata ya Machame, akina mama wamtandikia Khanga njia nzima asikanyage vumbi, umati wafurika!

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,129
214,262
Kwa kadri ya macho yangu Mkutano huu wa kata ya Machame waweza kuwa umevunja rekodi ya mikutano ya kisiasa iliyowahi kufanyika kwenye jimbo la Hai.

Hakika kumtoa mtu huyu kwenye jimbo hili kunahitajika wapiga kura wapya kabisa, ama labda wazaliwe watu wapya wengine Hai nzima .

Kwa kadri ya macho yangu Mkutano huu wa kata ya machame waweza kuwa umevunja rekodi ya mikutano ya kisiasa iliyowahi kufanyika kwenye jimbo la Hai .

Hakika kumtoa mtu huyu kwenye jimbo hili kunahitajika wapiga kura wapya kabisa , ama labda wazaliwe watu wapya wengine Hai nzima .

View attachment 1582946
Mr. Roho mbaya analia huko aliko kwa maombaomba
 
Haya maeneo yafuatayo amekwisha tembelea mwambie akupe picha za maeneo hayo, mimi nanazo picha nyingi tuu, maeneo ya : Uroki, Nkira, Uswaa, Mamba, Nkoraya,Mwowe, Kyeeni na Kashinsha. Aongeze nguvu sana, sipendi ashindwe lakini for the first time autafute Ubunge.
 
Sasa kama unazo picha nyingi sisi tukusaidie vipi!? Acha kuandika PUMBA!

Haya maeneo yafuatayo amekwisha tembelea mwambie akupe picha za maeneo hayo, mimi nanazo picha nyingi tuu, maeneo ya : Uroki, Nkira, Uswaa, Mamba, Nkoraya,Mwowe, Kyeeni na Kashinsha. Aongeze nguvu sana, sipendi ashindwe lakini for the first time autafute Ubunge.
 
Kwa kadri ya macho yangu Mkutano huu wa kata ya machame waweza kuwa umevunja rekodi ya mikutano ya kisiasa iliyowahi kufanyika kwenye jimbo la Hai .

Hakika kumtoa mtu huyu kwenye jimbo hili kunahitajika wapiga kura wapya kabisa , ama labda wazaliwe watu wapya wengine Hai nzima .

View attachment 1582946
TOKA UMARUFU ALIOKUANAO UMESHUKA KIASI HICHO MPAKA AMEANZA KUUBUSTI KWA KUKANYAGA KANGA ZA WANAWAKE. HII KIKI INABUMA, NA UBUNGE ATAGARAGAZWA ASUBUHI SAANA. AKANYAGE HIZO KANGA KWA MARA YA MWISHO.
 
Mbowe mjanja sana, yeye anarudi Bungeni lkn yule takataka ndo kwisha habari yake, na baada ya Oktoba 28 hata hela za kujikimu chadema hawatampa, ...
Takataka gani? Punguza maneno machafu kwa binadamu kama wewe. Siyo ustaarabu wala utu kumwita mtu takataka.
 
Mbowe mjanja sana, yeye anarudi Bungeni lkn yule takataka ndo kwisha habari yake, na baada ya Oktoba 28 hata hela za kujikimu chadema hawatampa, ...
Mtu ambaye hawezi kufanya mkutano wa hadhara na kushinda kutwa anasumbua wananchi kwenye miji na vijiwe vyao anaambiwa anafanya campaign ya kisayansi.. UVCCM mnajua kupeana moyo
 
Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom