Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,691
218,207
Makamu Mwenyekiti CHADEMA Mh Tundu Lissu ameingia Kariakoo kununua mahitaji mbalimbali

Huyu hapa

FB_IMG_1602073363133.jpg


FB_IMG_1602073321098.jpg


Muuza matunda wa soko la Kariakoo akimhudumia mteja wake Mhe @TunduALissu, Makam ( 519 X 640 ).jpg



 

Attachments

  • FB_IMG_1602073363133.jpg
    FB_IMG_1602073363133.jpg
    47.2 KB · Views: 1
Kuna watu wanateseka sana wakimuona Lissu popote! Jamani huko Kariakoo kaenda kuhemea tu kwani yeye hana tumbo! Mbona JK pia huwa nakutana nae akihemea pale mlimani City?

Hata Nyerere alicheza hadi bao na wananchi, hii ni hulka kwa viongozi wote wanaoamini katika utu na ubinadamu kwamba cheo chochote hakiwezi kukufanya ukawa binadamu na nusu, bali utabaki binadamu kama walivyo wengine wote!
 
Tuliwaambia Lissu atakuwa anaenda sokoni jamaa akili ndogo wa lumumba wakawa wanachekelea, nashangaa leo wamenuna.

Kamati kuu ya Chadema ikikaa ogopa sana vile vichwa, ni kama vipo ndani ya vichwa vya wengine, jamaa ni kama wanajua unawaza nini, then wao wanakuja na idea two steps ahead of you.

Baadae nasubiri mapovu ya mahera au jeshi la polisi, utasikia; "TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom