Tanzania ni yetu wote, tupange pamoja

Amani Msumari

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
1,830
976
Wakuu, naomba nipendekeze kwenu kuwa vijana nao wapate nafasi ya kukutana na Rais Magufuli.

Awali ya yote napenda kuweka wazi kuwa mimi ni mwanachama wa CCM lakini mkutano huu hautahusu mambo ya chama bali mustakabali wa Tanzania kwa muono (perspective) ya vijana.

Pia natambua kuwa tuko kwenye mchakato wa uchaguzi lakini naamini Rais Magufuli ataibuka kidedea kutokana na upepo wa kampeni unavyoonekana hasa ukizangatia kazi alizozifanya.

Nataka nianze mchakato huu ili kusudi kwamba baadae uchaguzi ukishapita basi vijana nao kama yalivyopita makundi mengine nao wapate nafasi ya kuzungumza na Magufuli Kama Rais wao na baba hasa ukizangatia umri wake na umri wa vijana.

Ninaamini wapo vijana wenye uwezo mkubwa wa kiakili, maarifa, uzoefu na wenye mawazo chanya ambayo yatapata nafasi ya moja kwa moja kusikiwa na mkuu wa nchi. Tunaweza kuratibu mawazo hayo na kuhakikisha tunakuwa na ajenda za kueleweka ambazo zitajaa ushauri kwa Rais wetu.

Tunaweza kuorodhesha kero mbalimbali zinazotukabili kama vijana na kupendekeza masuluhisho yake mbele ya Rais. Binafsi naona Kama jambo hili linaweza kuwa la maana sana. Tafadhali toeni ushauri wenu ili tuweke nyama kwenye hili wazo halafu tuanze mikakati kwa pamoja.

Amani Msumari.

Tanga.
 
There are some powerful people in our country trying to make it difficult for us to vote for Tundu Antipas Lissu. You know why? Because they know when we vote, things change.
 
Kipanga special why you always like to make things difficult? We have an issue here tabled before us please.
 
Msihofu tukishamstaafisha rasmi hapo October 28, mtajiandaa vijana kwenda kumsalimia Chato na pia mtampongeza kwa kujenga Chato International Airport.
 
1601926183603.png
 
Wakuu, naomba nipendekeze kwenu kuwa vijana nao wapate nafasi ya kukutana na Rais Magufuli.

Awali ya yote napenda kuweka wazi kuwa mimi ni mwanachama wa CCM lakini mkutano huu hautahusu mambo ya chama bali mustakabali wa Tanzania kwa muono (perspective) ya vijana....
Ulikua maana nzuri ila Kuna sehem umealibu
 
Wakuu, naomba nipendekeze kwenu kuwa vijana nao wapate nafasi ya kukutana na Rais Magufuli...
Tupange wote nyie na nani? Pangeni wenyewe.mambo yalipokuwa mazuri mlitupiga mbomu na marisasi.saaa yanawaendea kombo ndio mnatukumbuka?? Kila mtu atakula alikoweka mboga.
 
Vijana wakienda msilalamike kuwa wameenda CCM tuu. Lengo n kukaa na mzee na kubadilishana nae mawazo.
 
Wakuu, naomba nipendekeze kwenu kuwa vijana nao wapate nafasi ya kukutana na Rais Magufuli.

Awali ya yote napenda kuweka wazi kuwa mimi ni mwanachama wa CCM lakini mkutano huu hautahusu mambo ya chama bali mustakabali wa Tanzania kwa muono (perspective) ya vijana.

Pia natambua kuwa tuko kwenye mchakato wa uchaguzi lakini naamini Rais Magufuli ataibuka kidedea kutokana na upepo wa kampeni unavyoonekana hasa ukizangatia kazi alizozifanya.

Nataka nianze mchakato huu ili kusudi kwamba baadae uchaguzi ukishapita basi vijana nao kama yalivyopita makundi mengine nao wapate nafasi ya kuzungumza na Magufuli Kama Rais wao na baba hasa ukizangatia umri wake na umri wa vijana.

Ninaamini wapo vijana wenye uwezo mkubwa wa kiakili, maarifa, uzoefu na wenye mawazo chanya ambayo yatapata nafasi ya moja kwa moja kusikiwa na mkuu wa nchi. Tunaweza kuratibu mawazo hayo na kuhakikisha tunakuwa na ajenda za kueleweka ambazo zitajaa ushauri kwa Rais wetu.

Tunaweza kuorodhesha kero mbalimbali zinazotukabili kama vijana na kupendekeza masuluhisho yake mbele ya Rais. Binafsi naona Kama jambo hili linaweza kuwa la maana sana. Tafadhali toeni ushauri wenu ili tuweke nyama kwenye hili wazo halafu tuanze mikakati kwa pamoja.

Amani Msumari.

Tanga.
We jamaa hua nafuatilia post zako aisee we uko vizul mbaya. We na mayala umu ND ndio mko poa sn. Unaandika chomho gan cha habal?
 
Wakuu, naomba nipendekeze kwenu kuwa vijana nao wapate nafasi ya kukutana na Rais Magufuli.

Awali ya yote napenda kuweka wazi kuwa mimi ni mwanachama wa CCM lakini mkutano huu hautahusu mambo ya chama bali mustakabali wa Tanzania kwa muono (perspective) ya vijana.

Pia natambua kuwa tuko kwenye mchakato wa uchaguzi lakini naamini Rais Magufuli ataibuka kidedea kutokana na upepo wa kampeni unavyoonekana hasa ukizangatia kazi alizozifanya.

Nataka nianze mchakato huu ili kusudi kwamba baadae uchaguzi ukishapita basi vijana nao kama yalivyopita makundi mengine nao wapate nafasi ya kuzungumza na Magufuli Kama Rais wao na baba hasa ukizangatia umri wake na umri wa vijana.

Ninaamini wapo vijana wenye uwezo mkubwa wa kiakili, maarifa, uzoefu na wenye mawazo chanya ambayo yatapata nafasi ya moja kwa moja kusikiwa na mkuu wa nchi. Tunaweza kuratibu mawazo hayo na kuhakikisha tunakuwa na ajenda za kueleweka ambazo zitajaa ushauri kwa Rais wetu.

Tunaweza kuorodhesha kero mbalimbali zinazotukabili kama vijana na kupendekeza masuluhisho yake mbele ya Rais. Binafsi naona Kama jambo hili linaweza kuwa la maana sana. Tafadhali toeni ushauri wenu ili tuweke nyama kwenye hili wazo halafu tuanze mikakati kwa pamoja.

Amani Msumari.

Tanga.
We ni mwachama wa ccm, simusema kuwa. Kiongozi wenu was chama ni "mskivu, mnyenyekevu, kiongozi wa wanyonge" Sasa si ungempelekea ujumbe wako huko lumumba,!!
 
Back
Top Bottom