Polepole akielezea hatari za madaraka makubwa ya Rais

Aisee hawa Polepole ni watu wawili tofauti sana!

Huyu Polepole wa wakati ule wa Katiba ya Warioba na huyu Polepole ambaye ni Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM, ni watu wawili tofauti sana!
 
Hii clip Chakubanga inabidi tumbadili jina tumuite Chakubimbi:D maana kulikuwa na msemo miaka ile ukisema, CHAKUBIMBI UKIMUONA MUOGOPE!

Everyday is Saturday................................:cool:
 
Back
Top Bottom