Acheni hizo nani 'aliyewadanganyeni' kuwa Rais Dkt. Magufuli hapendi Wasema kweli na wanaopingana nae pia?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,518
108,793
Ndungulile (Faustine), ni kijana safi, mchapakazi, msemakweli, wana Kigamboni mniletee huyu, amefanya Kazi kubwa kuhakikisha Kigamboni inapata wilaya na nilienda kuzindua mimi," JPM, Taifa leo katika Kampeni yake ya Uchaguzi kuwania Urais ngwe ya pili.

HabariLeo

Haya sasa wale 'Visokolokwinyo' mliozusha kuwa Rais JPM 'alimtumbua' Daktari Ndugulile kwakuwa alisema 'Ukweli' juu ya CORONA njooni mjibu.
 
Alimpandisha cheo Waziri kamili.
 
..Magufuli alimshutumu Ndugulile kwamba ni Naibu Waziri wa afya mzembe kwasababu ameshindwa kupeleka hospitali ya wilaya Kigamboni.

..kitendo cha wajumbe kumpa Ndugulile ushindi wa kishindo dhidi ya Makonda kimesababisha Magufuli alegee.

..Magufuli amelegea, hana jinsi zaidi ya kukubali kuwa Ndugulile ndiyo chaguo la wana-ccm wa Kigamboni.
 
Wakati ule anamtumbua alisema Naibu Waziri gani wa Afya ambae hata hospitali zako hazina madawa, huyo mtu sio wa kumuamini, ni kama tu anavyosema maendeleo hayana chama halafu anasema mkichagua wapinzani siwaletei maendeleo.
 
Ndungulile (Faustine), ni kijana safi, mchapakazi, msemakweli, wana Kigamboni mniletee huyu, amefanya Kazi kubwa kuhakikisha Kigamboni inapata wilaya na nilienda kuzindua mimi," JPM, Taifa leo katika Kampeni yake ya Uchaguzi kuwania Urais ngwe ya pili.

HabariLeo

Haya sasa wale 'Visokolokwinyo' mliozusha kuwa Rais JPM 'alimtumbua' Daktari Ndugulile kwakuwa alisema 'Ukweli' juu ya CORONA njooni mjibu.
Visokolokwinyo🐵🐒🦍🐶🐕🐩🐺🐆🐅🐯🦁🐈🐱🦊🐴🐎🦄🦓🦌🐮🐂
Jichagulie kimoja Kati ya hivyo , halafu kitakupa jawabu
 
Ndungulile (Faustine), ni kijana safi, mchapakazi, msemakweli, wana Kigamboni mniletee huyu, amefanya Kazi kubwa kuhakikisha Kigamboni inapata wilaya na nilienda kuzindua mimi," JPM, Taifa leo katika Kampeni yake ya Uchaguzi kuwania Urais ngwe ya pili.

HabariLeo

Haya sasa wale 'Visokolokwinyo' mliozusha kuwa Rais JPM 'alimtumbua' Daktari Ndugulile kwakuwa alisema 'Ukweli' juu ya CORONA njooni mjibu.
Leo muulize ana maoni gani kuhusu huyu 'kipenzi' chake na 'wasiojulikana' wake, kisha urejee hapa kuwaeleza 'visokolokwinyo' :rolleyes:

Ndungulile (Faustine), ni kijana safi, mchapakazi, msemakweli, wana Kigamboni mniletee huyu, amefanya Kazi kubwa kuhakikisha Kigamboni inapata wilaya na nilienda kuzindua mimi," JPM, Taifa leo katika Kampeni yake ya Uchaguzi kuwania Urais ngwe ya pili.

HabariLeo

Haya sasa wale 'Visokolokwinyo' mliozusha kuwa Rais JPM 'alimtumbua' Daktari Ndugulile kwakuwa alisema 'Ukweli' juu ya CORONA njooni mjibu.
Huyu mzee ana rangi nyingi sana za kirongo rongo. Na kwa sababu ni za kirongo rongo huwa hazicherewi kupotea au huzidiwa nguvu na ile rangi yake halisi. Siku hizi za kampeni huwa anajitahidi sana kuficha hii rangi yake halisi. Hata hivo kuna wakati hushindikana kuificha na ndio maana tunamuona akifoka foka na raia ambao kwa sasa anahitaji kura zao.
 
Aliwai na huwa anasema maendeleo hayana chama, sasa kubwa kiliko... akiwa tunduma alisema kama hamtamchagua mgombea wa ccm sitaleta maji.
Hio imelaaje?? Tafakar pia chukua hatua
Ndungulile (Faustine), ni kijana safi, mchapakazi, msemakweli, wana Kigamboni mniletee huyu, amefanya Kazi kubwa kuhakikisha Kigamboni inapata wilaya na nilienda kuzindua mimi," JPM, Taifa leo katika Kampeni yake ya Uchaguzi kuwania Urais ngwe ya pili.

HabariLeo

Haya sasa wale 'Visokolokwinyo' mliozusha kuwa Rais JPM 'alimtumbua' Daktari Ndugulile kwakuwa alisema 'Ukweli' juu ya CORONA njooni mjibu.
 
Ndungulile (Faustine), ni kijana safi, mchapakazi, msemakweli, wana Kigamboni mniletee huyu, amefanya Kazi kubwa kuhakikisha Kigamboni inapata wilaya na nilienda kuzindua mimi," JPM, Taifa leo katika Kampeni yake ya Uchaguzi kuwania Urais ngwe ya pili.

HabariLeo

Haya sasa wale 'Visokolokwinyo' mliozusha kuwa Rais JPM 'alimtumbua' Daktari Ndugulile kwakuwa alisema 'Ukweli' juu ya CORONA njooni mjibu.
Kwa kawaida anaye kuambia Kila Mara kuwa unakosea,kwa maana ya kukushauri ,jua huyo ni rafiki was kweli kwani anataka ujirekebishe unapokosea.Sasa ni juu ya mhusika ama akubali ushauri wenye Nia njema ama ukatae.
 
Ndungulile (Faustine), ni kijana safi, mchapakazi, msemakweli, wana Kigamboni mniletee huyu, amefanya Kazi kubwa kuhakikisha Kigamboni inapata wilaya na nilienda kuzindua mimi," JPM, Taifa leo katika Kampeni yake ya Uchaguzi kuwania Urais ngwe ya pili.

HabariLeo

Haya sasa wale 'Visokolokwinyo' mliozusha kuwa Rais JPM 'alimtumbua' Daktari Ndugulile kwakuwa alisema 'Ukweli' juu ya CORONA njooni mjibu.
Sasa the genius!! Ulitaka asemeje wakati hiki ni kipindi cha kampeni na yule ni mgombea wa Chama chake????

Hiwa unaamini maneno ya magufuli kweli???😂
 
Back
Top Bottom