Hata kama hawatapata kura za kutosha naomba tume na Magufuli tumieni hekima yenu ili wabunge wagombea wafuatao kutoka vyama vya upinzani warudi bungeni. Hili litasababisha nchi yetu kuchangamka...
Jumla ya Makundi 16 ya waangalizi wa nje wapewa fursa na vibali vya kufuatilia mwenendo wa shughuli ya uchaguzi Tanzania huku asasi za kiraia na taasisi 97 za ndani pia zikipata nafasi hiyo...
Nchi yetu inadidimizwa na watu wachache sana huenda ni kwa kukosa maarifa. Na tutaendelea kusomeshwa kikundi hichi cha watu wachache waliokosa maarifa mpaka hapo tutakapostuka.
Suala la kuwaambia...
Ni muda Sasa NEC kupitia picha na video kurudia rudia mafuriko na mikutano ya Lissu kusoma alama za nyakati. Mikutano ambayo haipewi matangazo ya kutosha, mikutano isiyorushwa live, mikutano...
Toka kampeni imeanza hawakuzungumzia wala kufuatilia wanayo yafanya Mawaziri, Wakuu wa Wilaya na Wakuu wa Mikoa, hawa watendaji wamefanya mengi sana wengine wamejihusisha nakuwaagiza wananchi...
Hali ya kuweza kuimba nyimbo za hamasa, kuikosoa Serikali na kuonesha hisia zao hadharani na mbele ya polisi hapo awali haikuwapo. Tena hayo kufanywa na makundi ya watu wazima na wanawake.
Lakini...
TUTAWAHUDUMIA WAZEE WALIOLITUMIKIA TAIFA LETU" PROF. LIPUMBA"
TANGA-KOROGWE VIJIJINI
Tutaweka utaratibu wa kitaifa wa hifadhi ya wazee itakayohusisha jamii nzima kuwalea wazee wetu ambao wengi...
Tutarajie kufurahia/Tutarajie kufadhaika
Vitu vinavyoongelewa na CCM mtu CHADEMA hawezi kukiona cha maana kwakuwa moja kiu yao ni kuona chama chao kinatawala nchi siku moja na na kipindi...
Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu...
Tume ya taifa ya uchaguzi imekiri kutambua haki ya viongozi wa serekali kupiga kura Kama ilivyo kwa raia wengine. Hata hivyo tume imekataza viongozi wa serekali kuonekana kwenye vituo vya kupigia...
Asemavyo Nyerere kuhusu Uchaguzi Mkuu wa 2020 katika kitabu chake cha "TANU na Raia"
Miezi nane kabla ya 9 Desemba 1962, siku ambayo Tanganyika ilitangazwa kuwa ni dola ya kijamhuri, yaani mwezi...
Wana Jamvi,
Kipindi ndio hiki, wakati ndio huu. Kama umelewa mchuzi wa Magufuli basi bado huja dondoka ila kama umelewa mchuzi wa Tundu Lissu basi amini usiamini ameanza kupigwa changa la macho...
Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Jimbo la Singida Magharibi ameuawa kwa kukatwakatwa na mapanga kwenye mashamba yake.
Amepatikana akiwa amefariki. Nimepata taarifa wakati huu nikitoka...
Kampeni ya kutaka Rais ni aina ya uchochezi dhidi ya Rais aliyeko madarakani, huu ni wakati wagombea wengine wanawashawishi wananchi waachane na aliyeko madarakani wamchague yeye, ukifanya...
Dar es Salaam ndipo tulitarajia iwe ngome kuu ya upinzani Nchi hii KUSTAWI ajabu inaelekea kuwa sivyo.
Mwenendo mzima wa aina ya upepo wa kampeni za uchaguzi mkuu huu kwa hakika haupo kabisa...
NEC watupatie elimu hii sawa sawa. Je, ni kweli kuwa bado nikiwa ndani ya Tanzania lakini nje ya kituo nilichojiandikisha siwezi kupiga kura ya Rais?
Kuhusu ubunge hiyo ni sawa, lakini kura ya...
Baadhi ya wanachama wa chama fulani wamekuwa wakijinasibu na hii taarifa ya kupikwa kuwa kama zikipigwa kura au kupendwa kwa chama chao hapo mwanza basi asilimia 95 inawapa ruksa kujitutumua...
Wasalaam,
Huwa inashangaza kwa mtu msomi mwenye akili timamu anapoamua kwa makusudi kupotosha jambo lenye maslahi kwa umma, ambalo linatambulika vema kwa jamii husika.
CCM wameparamia kujibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.