Zanzibar 2020 Dkt. Hussein Mwinyi aonya ubaguzi Zanzibar

Alwatan Mabruki

Senior Member
Sep 20, 2020
132
116
Dkt. Mwinyi aonya ubaguzi wa kidini.

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) amesema bado kuna chembechembe za ubaguzi wa kidini kati ya wapemba na waunguja, wa Tanzania bara na Wazanzibari. Ikiwamo pia ubaguzi wa kijinsia, lakini aahidi atajitahidi kadri Mungu atakavyomsaidia kupambana na suala hili la (ubaguzi).

Asema jukumu la Serikali ni kuhakikisha inakuza Uchumi, inaweka sera nzuri za kuwawezesha Wananchi kutimiza majukumu yao ya kila siku, na viongozi wa dini jukumu lao ni kuendeleza maadili kwa jamii.

Asema angependa kuona kila mtu ana uhuru wa kuabudu dini aitakayo. Alisema changamoto nyingine za ardhi, mali, taasisi za dini na unyanyasaji, zinaweza kupatiwa ufumbuzi na kufanyiwa kazi.
 
Mbona hajaongelea ubaguzi wa ajira kiitikadi
 
Ubaguzi wa kidini kati ya wapemba na wa Unguja umekaaje.Nadhani huu ni mtazamo wa wabaya wa Zanzibar wenye kuleta chokochoko kama zile za mwaka 1964. Hata huyo mgombea mwenyewe hawezi kusema maneno hayo.
Ili kuthibitisha kuwa si maneno yako lete video yake na kama kweli kasema tutamjadili kivyengine sio kujadili uzushi.
 
Hivi mwinyi alikua wapi wkt ccm wanatengeneza ubaguzi zanzibar? Au walikubaliana kamati kuu kua tuliopo tunatengeneza ubaguzi alafu tutakupitisha wewe ili uje uondoe ubaguzi?

Ni lini na wapi Mwinyi amewahi kukemea ubaguzi huu wa ccm?

This is total foolishness!

Mpeni Maalif Seif nchi yake
 
Nchi haitolewi kama chumvi, wazanzibari wamesema ni mwinyi tu

Mwinyi Njoo tu bara tujenge nchi yet....Hawa CCM hawakutakii mema kukupa Chama kikufie kwenye mikono yako kwenye nchi isiyo yakwako.
 
Usultani hajaongelea? Baba alikuwa rais na mtoto anataka urais.

Ukoloni wa Tanganyika kwa Zanzibar hajaongelea? Muungano wa serikali 2 unaapoteza na kupoka mamlaka ya Zanzibar.
 
Kama ni kweli Mwinyi anakelwa na ubaguzi angeanza kumsema kwanza mwenyekiti wa chama chake mbaguzi namba moja tangu tumepata uhuru.
 
Nchi haitolewi kama chumvi, wazanzibari wamesema ni mwinyi tu
Huwezi kufanya majaribio ya kuongoza kwa miaka 60....Maalim Seif ni mzanzibari mzalendo anatosha sana...

Back
Top Bottom