Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,135
- 282,834
Hapa ni kwenye Mkutano wa hadhara kata ya Tindiga
====
NDIYO MZEE: JE PROFESA J ALIJITABIRIA
Msanii wa miziki ya kufokafoka, hip hop, Joseph Haule, amekuwa mbunge wa Jimbo la Mikumi kwa miaka mitano kupitia chadema
Aliwahi kuwa kundi la muziki la Choka Mbaya, alianza kwa kujiita Nigga J
Ni mwaka 2001 msanii huyu alikuwa na album aliyoiita ‘Machozi, Jasho na Damu’ ambayo ndani yake kulikuwa na kibao kilichoitwa ‘Ndiyo mzee’ alichomshirikisha, Juma Nature na Mc Babu Ayubu
Katika kibao cha ‘Ndiyo Mzee’ ilikuwa na maudhui ya mwanasiasa anayeomba kura kwa wananchi wake kwa ahadi nyingi kemkem
Moja kati ya msitari anasema ‘mabomba yatatoa maji na maziwa, nchi nzima, watu wa vijijini mtasahau habari za visima’. Je wimbo huu ulikuwa ni utabiri wa hatma ya Joseph Haule