Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kisa hiki ni sehemu ya mlolongo wa matukio mbalimbali katika historia ya maisha ya Mwalimu Nyerere. Inaelezwa kuwa mwaka 1994 Waziri wa Ulinzi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi walimfuata...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kuombwa na watoto wa Baba wa Taifa. Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito...
117 Reactions
575 Replies
58K Views
KATIBU Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHA UMMA) ambaye pia ni Mgombea wa Urais wa chama hicho Ali Omar Juma, amewataka wanachama wa chama hicho kumpigia kura ya ndio Maalim Seif Sharif Hamad...
10 Reactions
8 Replies
3K Views
KUNA KIPINDI CHA KUWAKABIDHI UPINZANI NCHI HII LAKINI SIO SASA. Na Thadei Ole Mushi. Mwaka 2014 Nchi za Kenya na India ziliipita kwa mbali Tanzania kwa kusafirisha na kuuza katika soko la dunia...
6 Reactions
8 Replies
851 Views
Habari wana jamvi? Ningependa kufahamishwa kuhusiana na majukumu ya msimamizi wa kituo cha kupiga kura kwani sina uelewa juu ya hili na ningependa kufahamishwa na wanaofahamu. Natanguliza...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
HUKUMU ZA WAFALME/RAIS Na, Robert Heriel Kuna mambo manne yanayomuongoza mfalme/rais katika kutoa hukumu. Mambo hayo ni pamoja na; 1. Sheria za nchi (au imani kama taifa linaongozwa kidini) 2...
1 Reactions
0 Replies
749 Views
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee amezungumzia mtazamo na maswali yanayoulizwa kuhusu kutoonekana kwa viongozi wa kitaifa wa Chadema, katika mazishi ya watu waliofariki kutokana na ajali ya kivuko cha...
11 Reactions
126 Replies
19K Views
It should be remembered that after Nyerere retired Tanzanians decided to turn to western countries model of life. We privatized every thing including public toilets under President Mwinyi and...
19 Reactions
115 Replies
7K Views
Aida Khenan ambaye ni Mgombea ubunge wa Chadema jimbo la Nkasi Kaskazini akiendelea kuomba kura kwa wananchi kama alivyotumwa na Chama chake Njia pekee ni kuzuia Mawakala kuingia na simu kwenye...
23 Reactions
55 Replies
6K Views
Heche ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter: Nimepokea taarifa kutoka Serengeti mgombea wetu mh. Catherine Ruge, Mwenyekiti wetu wa wilaya mh Francis Garatwa, na watu wengine...
7 Reactions
60 Replies
8K Views
Mwanamama mtetezi wa siku nyingi wa haki za binadamu hususan za wanawake mama Kijo Bisimba, amelaani vikali kauli za Rais Magufuli anazozitoa mara kwa mara juu ya wanawake. Akihojiwa na redio...
21 Reactions
57 Replies
6K Views
Habari wana JF, Kama wiki mbili zilizopita nilifika kijijini Butiama, nikabahatika kukaa na wazee wachache. Kuna jambo nilikuta linawasikitisha sana, halafu mm sikuwahi kuliwaza kama vile ni...
47 Reactions
89 Replies
10K Views
Mgombea urais wa CHADEMA, Bw. Tundu Lissu, keshokutwa Jumanne tarehe 13 Oktoba, ataenda kupiga kampeni kwenye ngome ya Rais Magufuli huko Chato. Pia, kwa mujibu wake yeye mwenyewe, kabla ya...
49 Reactions
244 Replies
26K Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Chama ch ma Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesikitishwa na kupokea kwa tahadhari kubwa matukio yanayotishia uvunjifu...
43 Reactions
76 Replies
9K Views
Baada ya kuanza kampeni za kuwania Urais katikati ya kitovu cha nchi na kwenda mikoa mbalimbali, leo mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amerejea mjini Dodoma na kulakiwa na wananchi...
18 Reactions
91 Replies
13K Views
Amani mtoto wa Msumari Amani itawale kwenu. Nimekaa na kutafakari sana kuhusu demokrasia. Jambo ambalo kwa hakika siwezi kulipinga ni ule ukweli kuwa, vyovyote vile, demokrasia ni jambo la...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
RAIS wa Jamuhuri ya Muunguno wa Tanzania John Magufuli hii leo anatarajiwa kupokea gawio la Sh Bilion 100 kutoka Kampuni ya Madini ya Twiga inayomilikiwa kwa ubia na Kampuni ya Barrick Gold Mine...
10 Reactions
71 Replies
10K Views
Unazungumzia mambo ambayo yapo wazi kama ukaguzi wa ATCL, deni la taifa, sera za majimbo za CHADEMA hizi ni hoja zipo wazi. Na mwananchi wa kawaida sasa ambae maisha yake yamekuwa duni haya...
38 Reactions
255 Replies
18K Views
Hivi toka matukio hayo yaanze hadi Leo hao Chadema hawajaisha tuu na ikafa? Wameondoka wabunge na chaguzi za marudio zikafanywa katafunua lakini Chadema WAPO TUU! Madiwani wakajivua kwa makundi...
15 Reactions
63 Replies
5K Views
Nimekaa na kutafakari sana. Nimemtafakari bwana Freeman Mbowe. Binadamu huyu anatakiwa apewe heshima kubwa sana. Yeye siyo adui wa nchi hii, la hasha! Mbowe ametoka kwenye jamii iliyostaaribika...
52 Reactions
85 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…