kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
1. Unapotaja fly over ya ubungo na Tazara ishia Dar es Salam maana Kigoma awatakuelewa.
2. Unapotaja reli ya standard Gargey ishia Dodoma, Mtwara ni vigumu kukuelewa.
3. Unapokwenda ukerewe zungumzia uvuvi na namna nyavu zilivyo chomwa Moto, usizungumzie uchumi wa Kati.
4. Ukienda Mtwara hakikisha umelipa madeni ya korosho, usiende kuwasimulia uchumi wa Kati.
5. Ukienda Arusha jadiliana na Wananchi kuhusu kilimo, utalii na ajira siyo habari za uchumi wa Kati na treni mpya,siyo vipaumbele.
6. Ukifika Mbeya zungumzia kuboresha usafiri na kufungua mipaka siyo kuhubiri reli, flyover na mradi wa umeme.
7. Jadili ajira utakazotoa siyo ulizotoa, jadili huduma ya afya iliyoboreshwa siyo iliyopo Sasa, jadili Uhuru wa watu na kudhibiti matumiz ya dola kwenye maisha ya watu nk.
Haya yote mlipaswa kujipanga nayo lakini amkufanya hivyo, wenzenu CHADEMA walisoma nyakati.
Mlishindwaje kung'amua mapema umuhimu wa kauli mbiu ya maendeleo ya watu? Hii ni agenda ya Dunia kwa Sasa, ushirikishaji wa watu kwenye kupanga, kuamua na kutekeleza ndo mpango wa Dunia kwa Sasa.
Fungueni macho, hakuna maendeleo ya Dunia au jamii yaliyojengwa kwa kuwadharau wakubwa Wala wadogo, mabeberu Ni wetu, makaburu Ni wetu, wanyonge Ni wetu, matajiri Ni wetu tubadili fikra tufanye mambo shirikishi na yenye uwazi ndani yake.
Walaumiwe wanaofikiri kwa niaba ya wanachama wetu,mmewaangusha sana wanachama tengenezeni critical thinkers