Uchaguzi 2020 Mbio za Urais Zanzibar 2020: Shamsi Vuai Nahodha ni nani hasa?

FAHAD KING

JF-Expert Member
Sep 14, 2017
301
373
Habari Jf

Taarifa zinaonyesha kazaliwa Makunduchi Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja mwaka 1962 hii ikiwa na maana kwamba mwaka huu anatimiza miaka 58. Miaka 20 iliyopita akiwa na umri wa miaka 38 (kinda kabisa kwenye siasa za Zanzibar) Rais Amani Karume alimteua kuwa Waziri Kiongozi nafasi ambayo alidumu kwa miaka 10 (2000 hadi 2010). Nahodha ni moja ya watu waliopata bahati ya kuaminiwa wakiwa na umri mdogo na kupewa nafasi katika siasa za Zanzibar. Anatajwa kama mmoja ya watu wenye kiu ya kuukwaa Urais wa Zanzibar na makala hii ya Zanzibar Forums itajikita zaidi katika kufanya uchambuzi kusaidia umma kumuelewa na kumuweka katika mzani sawia akielekea na nia yake hiyo.
Nguvu yake

Msomi (si haba). Ana shahada ya kwanza kaipata Chuo Kikuu cha Dar es salaam katika fani ya elimu na pia stashahada aliyoipata katika Chuo cha Diplomasia, Kurasini Dar es Salaam.

Amepita katika ngazi mbalimbali za uongozi japo hajadumu (tofauti na ile ya Waziri Kiongozi SMZ).

Mapungufu

Kufeli kwa Operesheni Tokomeza Ujangili. Nyaraka zinaonyesha kuwa Wizara ya Ulinzi chini ya Nahodha ilikuwa na jukumu kubwa la kujenga nidhamu na kusimamia utekelezaji wa Operesheni hii ya mali asili na ulinzi mwaka 2013 baada ya maelfu ya tembo kupotoea katika kipindi cha muda mfupi. Hata hivyo inaelezwa kuwa dharau na kutopatana kwake na majenerali jeshini pamoja na kukosa umakini vilifanya operesheni iende mrama. Ripoti ya Operesheni hii inaonyesha namna wanawake walivyobakwa,nyumba kuchoma moto, vilema vya maisha kwa baadhi ya wahanga, mauaji na mateso kwa raia pamoja na wizi mkubwa.

Akiwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa alifukuzwa kazi kutokana na kubishana na kuwatukana Majenerali wa JWTZ baada ya kutaka kulazimisha kuuzwa kwa mojawapo ya maeneo ya Jeshi. Jambo hilo limemfanya aingie katika “Black Book” ya Majenerali wa Tanzania kama mtu asiyefaa kupata uongozi wa juu wa nchi kwani eneo alilokuwa akilazimisha kuuzwa ni moja ya maeneo ya ardhi nyeti yenye maslahi mapana kwa Jeshi kuliko mwekezaji ambaye aliletwa na Nahodha na watu wake wa karibu. Katika historia ya Tanzania, yeye ni mmoja ya watu waliodumu katika nafasi ya Waziri wa Ulinzi kwa muda mfupi zaidi (miezi 19) kabla ya kufurushwa.

[https://img1]Mei 2013, Rais Kikwete akimkabidhi bendera kiongozi wa batalioni ya wanajeshi wa JWTZ waliokwenda MONUSCO. Kulia kwake yuko Nahodha na kushoto Mkuu wa Majeshi wakati huo Jenerali Mwamunyange

3. Nyaraka ambazo Zanzibar Forums imezipata zinaonyesha kuwa, akiwa katika Wizara hiyo hiyo alihusika na kashfa ya kupokea fedha za maharamia wa Kisomali waliokuwa wakiteka meli katika pwani ya Somalia na kuzitakatisha hasa katika eneo la ujenzi wa majumba kwenye majiji ya Nairobi (Eastleigh) na Dar es Salaam (Kariakoo). Kutokana na hili hadi sasa amekuwa na wakati mgumu kutumia moja ya “apartments” ambazo alipewa na washirika wake hao eneo la Kariakoo. Wanasheria wanaeleza kuwa kosa kama hilo ni utakatishaji fedha na halifi hivyo tusishangae siku akashtakiwa hata miaka ijayo. Hii pia ni moja ya sababu za kuondolewa nafasi ya Waziri wa Ulinzi kwani makachero wa nchi za magharibi waliokuwa wakifuatilia utekaji wa meli katika pwani ya Somalia walikuwa wameanza kukusanya ushahidi juu yake.
4. Hapimi au hana uwezo wa kupima madhara ya kauli zake kitu ambacho kinaelezwa ni hatari kwa nchi. Tukio mojawapo ni lile alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani (pia hakudumu) alipotoa kauli za kuitishia Rwanda akiwa ziarani Ngara mkoani Kagera bila kujua madhara yake kidiplomasia. Tukio hilo lilileta mvutano wa muda kati ya Tanzania na Rwanda mpaka Wizara ya Mambo ya Nje kulitolea maelezo.

[https://img1]Matamshi yake dhidi ya Rwanda yalileta taharuki ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Rwanda

5. Inaelezwa pia hana msimamo thabiti kwenye mambo muhimu. Kumbukumbu za waliofanya naye kazi zinaonyesha si rahisi kuweza kutambua amesimamia wapi hasa kutokana na kauli zao kutokuwa na utashi wa kufanya maamuzi katika wakati yanapotakiwa kufanywa jambo ambalo wachambuzi wa sayansi ya siasa wanasema ni kigezo kikubwa kutothubutu kumpa mtu wa haiba hiyo uongozi wa nchi.
6. Dharau na kukosa kauli njema. Duru za kisiasa visiwani Zanzibar zinaonyesha kuwa mwaka 2010 alipojitosa kuingia katika kinyan’ganyiro cha urais, Dr Mohamed Shein alimuomba ajitoe lakini alimkatalia na kumwambia “tukutane tatu ya mwisho”. Huo ukawa mwendelezo wa anguko lake kisiasa.

[https://img1]Rais Dk Shein, inaelezwa ombi lake kwa Nahodha lilikataliwa kwa lugha isiyo na staha

7. Wizara ya Mambo ya Ndani ilimshinda katika Serikali ya Tanzania. Miezi miwili tu akiwa Waziri baada ya kuteuliwa Mbunge na kisha Uwaziri na Rais Kikwete, nyaraka zinaweka bayana namna alivyoshindwa kusimamia Wizara hiyo ikiwemo migomo mikubwa ya wafungwa na mauaji ya wanafunzi Chuo Kikuu Dodoma katika maandamano ya CUF kudai Katiba mpya.
8. Mvutano mkubwa ulikuwepo kati yake na Karume wakati akiwa Waziri Kiongozi hasa ile ya kuamini kwamba yeye ni msoni aliyestahili nafasi ya Karume (akisahau aliinuliwa akiwa si chochote).
9. Moja ya kazi zake za awali kabisa ni ya mtengezaji wa vipindi TVZ. Ushuhuda wa wote aliofanya nao kazi akiwa hapo ni kuwa maisha yake yalikuwa ya ujeuri na ujuaji asiyekuwa na mashirikiano na yeyote juu au chini yake.

Taarifa ya ziada
Taarifa zinaonyesha kwamba Nahodha anatumiwa kama chambo katika mbio za Urais Zanzibar 2020 na wanaomtumia wakiwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete na Bernad Membe ambaye amepanga viwango mbalimbali vya fedha kwa kila MNEC Zanzibar ili kumpitisha Nahodha. Lengo hasa la Membe linatajwa kuwa ni kutaka kurejea CCM na kulipiza kisasi kwa Magufuli kwa namna ambavyo amemtendea mpaka kufurushwa chamani na biashara zake na washirika wake kuharibiwa kwa kiasi kikubwa.

Baadhi ya Wanec Zanzibar ambao fedha hizo zinakusudia kuwafikia ni Afadhali Talibu Afadhali, Kombo Hassan Juma, Lailah Burhan Ngozi, Mbelwa Hamad Mbelwa, Iddi Ame, Yussuf Ali Juma, wanec wote wa Pemba wakiongozwa na Bi Kidawa Khatib. Wamo pia Bi Kidawa Khamis Saleh, Khadija Ngozi na wengine ambao Zanzibar Forums inaendelea kuhakiki taarifa.

[https://img1]Membe na Magufuli katika mkutano wa kumpitisha Mgombea wa CCM mwaka 2015

Lengo la Kikwete na Membe ni kumsaidia Nahodha kushinda Urais Zanzibar ili naye na timu yake awasaidie kumuweka mgombea wanayemtaka Bara 2025 (ikumbukwe wa NEC wa Zanzibar huwa na nguvu kubwa kuchagua Rais wa Bara). Jakaya Kikwete anapata faida gani? Yeye anataka kurudisha nguvu yake ya ushawishi ambayo anaona imepotea na kupata nafasi ya kusaidia washirika wake kibiashara. Kwa wawili hawa, Nahodha ni fimbo ya kumchapia Magufuli.

[https://img1]Wachambuzi wanasema Nahodha anatumika kama kete ya Kikwete na Membe kwenye mbio za Urais Zanzibar 2020

Kifedha, Nahodha pia anasaidiwa na wafanyabiashara Mohamed Raza na Salim Turky (ana makando kando mengi ikiwemo lile la siku za karibuni kumpa Balozi wa Comoros passport ya Tanzania kinyume cha sheria, kitu ambacho ni kosa la jinai).

[https://img1]Salim Turky (2nd R) na mwanaye Tawfik wakiwa na Rais wa Comoros. Siku za karibuni Balozi wa Comoros alikamatwa na passport ya Tanzania ambavyo inaelezwa alipewa na Turky kitu ambacho ni kinyume na sheria.

Raza ndiye anawatafutia kazi kampuni ya Estim Construction visiwani Zanzibar baada ya kuwa wamefurushwa bara na Magufuli kwa ufisadi na rushwa kwenye ujenzi kwa miaka 15. Estim, mali ya Girdhabhai Pindoria ina historia ndefu yenye utata mwingi kwenye ujenzi Bara. Mwaka 2009 walishinda tenda kujenga Golden Jubilee Towers la PSPF kwa bajeti ya dola milioni 50. Wakati linafunguliwa mwaka 2013 gharama zilikuwa zinaelekea dola milioni 100. Tume huru ikataka kufanya ukaguzi ikafanyiwa mizengwe na uongozi wa PSPF. Magufuli alipoingia tu madarakani amewa “black list” katika sekta ya ujenzi bara na kimbilio lao sasa likawa Zanzibar wakisaidiwa na Raza na Waziri wa Fedha Abdiwawa ambapo walipewa mradi kama wa Kwahani licha ya kutoshinda tenda hiyo. Nahodha kuungwa mkono na kundi hili ni doa kubwa kutokana na historia yao kwenye usafi na uadilifu katika namna wanavyofanya biashara zao.

[https://img1]Mohamed Raza. Historia inaonyesha amewahi "kuitisha" SMZ. Mara hii atafanikiwa "kuinunua" kwa kumuweka Ikulu amtakaye?

Wachambuzi wa siasa za Zanzibr wanasema Shamsi Vuai hana uwezo wa kuongoza Zanzibar, sababu mojawapo wakieleza kuwa haaminiki na Jeshi kutokana na sababu zilizoelezewa hapo juu. Jeshi lina intelijensia yake na huchambua itikadi na wanasiasa kuelekea uchaguzi mkuu ili kujua mwelekeo wa kisera za ulinzi iwapo mgombea fulani atashida. Sababu nyingine ni magenge ya wafanyabiashara wenye historia ndefu ya ufisadi ambao wako mstari wa mbele kumuunga mkono kufika Ikulu kitu ambacho kiko wazi kabisa kwamba wanatamguliza ili wakavune vijikodi vya Wazanzibari kupitia miradi mbalimbali kitu ambacho wamefanya Bara kwa miaka mingi kabla ya kufurushwa na Magufuli. Inaelezwa pia Nahodha ana makundi ya kijiografia na hana historia yoyote ya kuleta mabadiliko ya kimaendeleo sehemu ambazo ameongoza. Zipo pia taarifa kwamba amekuwa mgonjwa kwa muda mrefu. Wachambuzi wa siasa za Zanzibar wanampa alama 3 kati ya 10 kuweza kupata nafasi ya Urais kutokana na wingi wa makandokando yake ambayo baadhi yamebanainishwa katika makala hii.

Tuendelee kuwajadili viongozi wetu hawa wenye nia ya kutaka kutuongoza Wazanzibari ili muda utakapotimia tututumie demokrasia tukiwa na ufahamu walau kiasi wa nani ni nani. Zanzibar itabaki salama.
FB_IMG_1584984889429.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuendelee kuwajadili viongozi wetu hawa wenye nia ya kutaka kutuongoza Wazanzibari ili muda utakapotimia tututumie demokrasia tukiwa na ufahamu walau kiasi wa nani ni nani. Zanzibar itabaki salama. View attachment 1397259

Sent using Jamii Forums mobile app

Huu ni utopolo
 
Wagombea znz ni Mwinyi, shamsi,pereira silima, prof Mbarawa kwanini umjadili mmoja kama si chuki binafsi
 
Mkuu kwanza hongera kwa uchambuzi yakinifu, pili NIKUULIZE, JE? HAPA DUNIANI UNAWEZA KUMPATA MTU MKAMILIFU?

Ikiwa sivyo, basi ukifika muda wa muafaka wa kampeni tuwape nafasi wagombea wajinadi halafu tuamue kulingana na kujiridhisha kwetu kutokana na sera zao.

Na ikiwa yupo MKAMILIFU basi na apite bila kupingwa.

Ni hayo tu.

Nilidhani unamzungumzia kwa pande zote Mazuri na Mafhaifu yake ili kurahisisha watu kumfahamu. Ulichokifanya ni uonevu mkubwa.

Kwa watu wenye ufahamu mzuri(sasa) ukienda kuomba kazi kwao na CV kuonesha sifa nzuri pekee bila kuelezea udhaifu wako, wanakutilia shaka kuwa ni mtu wa misifa(hufai)

Hivi umemchambua au umemchafua!? Hii siyo fair.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah hili bandiko kiboko sana, ila limeweka mabaya mingi mnoo na kumsaidia msomaji kuhitimisha kuto kufaa kwa huyu mtu.

Binafsi Nahodha simkubali, namuina ni mtu mwenye kiburi na dharau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom