Wadau,kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi ya nchi yetu,uchaguzi unaweza kupangwa kufanyika kwa Siku mbili tofauti pasipo sababu ya msingi kama ville kuvurugika uchaguzi katika siku ya kwanza au...
Sio siri tena kuwa wakati CCM inatumia fedha zake za Ruzuku toka serikalini na vyanzo vyake vingine halali na haramu kutapanya Mali kwa ufahari na wizi hali ilikuwa tofauti kwa Chadema.
Sio siri...
Nimeona mahala kuwa huyu Mwanamama ambaye ni Mkuu wa Mashtaka katika Mahakama ya Uhalifu Kimataifa ( ICC ) anaenda zake nchini Sudan huko 'Kumalizana' na aliyekuwa Rais wa muda mrefu wa nchi hiyo...
Adhabu ya kifungo cha kutofanya kampeni imemalizika jana saa tano na dakika 59 usiku, kwa hiyo kuanzia asubuhi hii ya leo ya tarehe 9 yuko huru kuendelea na kampeni zake.
That punishment wasn't a...
Leo 13/10/2020 nilikuwa crdb banki, wakati tupo kwenye foleni ndani ya hii banki niliwakuta watumishi watatu wa serikali
1) Alikuwa ni mwanamke ambaye ni mwalimu,huyu mama alikuwa analalamika...
Mwalimu alipopata mkopo anasema alijifikiria sana. Akiwapa masikini chakula watakula ila baadae watasikia njaa na kutaka waprwe tena.
Yeye na team take wakaamua badala yake wamsomeshe mtoto wa...
Tangu nimejitambua kama mtu mzima ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sikuwahi kwenda kupiga kura
Hii ni kutokana na kutopata ushawishi wa kisera kutoka kwa vibaka CCM na wale wapinzani wa...
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alipotoka Nigeria kushuhudia zoezi la upigaji kura, uhesabuji kura na utangazaji matokeo, alisema kuwa angependa siku moja nasi Tanzania tufikie kiwango cha...
Mwenye Chama chake cha ACT - Wazalendo Zitto Kabwe
Nitamuunga mkono na Kumpigia Kura Tundu Lissu
Aliyekaribishwa 'Kimkakati' ndani ya Chama Maalim Seif Sharrif Hamad
Maamuzi yote ya Chama cha...
Moja ya mikoa iliyobarikiwa ardhi yenye rutuba na Hali ya hewa ya kurutubisha mazao ya biashara kama nyanya,vitungui,mahindi na mbogamboga ni Iringa, lakini mazao haya yanaonekana maeneo mengi ya...
Upepo ulikuwa kwao wiki iliyopita na kuonesha mvuto wao ulikuwa mkubwa sana kitaifa. Ila ni makosa madogo yanayoweza kupunguza kura zao na wakiepuka tu wanaweza kuongeza kura sana na hata...
Dear wakala wa chama,
Salamu sana.
Natumaini u mzima na umejiandaa vema kusimamia maamuzi yetu.
Najua una 'mchecheto' hivi, ile hali ambayo mtu hujisikia anapokuwa anatarajia kufunga ndoa na...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa amewaomba Watanzania wote wakiwemo na wakazi wa Kigoma wahakikishe wanamchagua Rais Dkt. John Pombe Magufuli ambaye ni...
Imeandaliwa na Mwl.ngh'oloyape,
Habarini wanajamvi wa siasa forum nimejaribu kufuatilia siasa za Tanzania na jinsi ambapo tunajinasibisha mitaani kwamba Lissu atakuwa Rais wa JMT nimegundua na...
REA, Shule za Sekondari, Barabara za Lami nk ni baadhi ya miradi uliyoiasisi au kuiendeleza ulipokuwa Rais wetu. Mungu akubariki kwa kuwa mkweli.
Tulifika mahala tukaaminishwa kwa nguvu za ajabu...
Lala salama ya uchaguzi zikiwa zimebaki siku 8 ( one digit) inaanza leo ambapo Tundu Lissu atakuwa Hai mkoani Kilimanjaro akiwa na Sheikh Ponda, Askofu Mwamakula na mgombea urais wa Zanzibar...
Nitawajulia hali zenu baada ya uchaguzi!
Niende moja kwa moja kwenye mada husika!
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO YA WATU na sio vitu ni chama pekee kilichoweza kujipambanua na kutawala kwenye...
"Nimempa hekari elfu 10 iliazalishe sukari tan 30,000 hadi 35,000 kwa mwaka na watanzania 800 watapata ajira na badae uzalishaji utafikia tani 60,000 hadi 70,000 na kutoa ajira 2000"
Magufuli...