Ni nani aliyewaambia CHADEMA mtashika dola?

Charliemic

JF-Expert Member
Feb 17, 2019
585
919
Siioni kama CHADEMA ina hata tone la dalili ya kushinda!

Taasisi na vyombo vyote vya dola havipo upande wenu! Je, ni nani atakayesimamia na kuwapa huo ushindi mnaouta!?

Bendera zenu kila kona zinashushwa na kuchanwa, pamoja na kuwa ni kinyume cha sheria jambo hili mmeshindwa kulizuia au kushtaki, je mnadhani mtapewa ushindi!?

Mwenyekiti wa tume alionekana wazi akionyesha hisia kwa mpinzani wenu, halafu eti yeye huyo ndio awape ushindi!

Mashtaka yenu dhidi ya mgombea mpinzani wenu hazikusikilizwa kabisa halafu mnategemea mtashinda!

Wagombea wenu wamekatwa mkaufyata halafu mnaota ushindi!!

Kwa kweli ni upuuzi kutegemea Lissu atashinda! Hakuna mtanzania atakayeacha ugali wake nyumbani akaandamane kwa ajili ya Lissu!

Nasubiri kwa hamu kubwa kusherekea ushindi wa JPM na wabunge CCM kwa asilimia 99
 
Back
Top Bottom