Zanzibar 2020 Zanzibar: Maalim Seif anafunga Kampeni zake leo

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
May 5, 2014
606
1,540
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad hivi sasa yuko katika Kiwanja cha Mnazi Mmoja Unguja kuhitimisha Kampeni zake za kuelekea Ikulu.

1603628897869.png

Maalim Seif akiingia Kiwanja cha Mnazi Mmoja

1603628896963.png

Wanawake hawako nyuma katika shughuli ya kumpeleka Maalim Seif Ikulu

1603629020996.png

Sehemu ya Umati wa watu waliojitokeza leo kwenye Mkutano wa Mgombea Urais wa Zanzibar
 
Maalim asante kwa kushiriki

Wazanzibari hawawezi kumpigia kura msaliti wa Mapinduzi matukufu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom