Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa siku za karibuni tangu uanze kampeni zako Mamlaka ya Mji wa Mwanza (Mwauwasa) umekuwa na huduma mbaya kwa wateja wengi wa maji katika jiji hili. Tangu Injinia Sanga atoke kwenye Mamlaka hii...
1 Reactions
8 Replies
992 Views
Mgombea Ubunge jimbo la Kawe, Askofu Gwajima amesema hakuwahi kusema Kugombea Urais au Ubunge ni kujishusha, bali alisema Ukiacha kazi ya Mungu halafu ukaenda kugombea Ubunge ndio kujishusha...
9 Reactions
71 Replies
9K Views
Taarifa iliyotolewa na Idara ya mahusiano ya TRC unasema Rais Magufuli atazindua kwa mara ya pili Reli iliyojengwa miaka 122 iliyopita na kuzinduliwa na mtawala wa Ujerumani wakati huo. Kwa...
22 Reactions
124 Replies
8K Views
Habari wanajamvi,niende moja kwa moja kwenye mada. Bunge kupitisha sheria ya Mkurungezi wa Mashtaki ya Umma aikua bahati mbaya. Sheria hii ilitungwa ili kuweza kubaini wale wote wanao fanya makosa...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
“Kuna uvurugwaji wa kutisha wa Daftari la wapiga kura. Mamilioni ya wapiga kura hewa & maelfu ya vituo bandia. Wapiga kura wengi wapinzani wamehamishwa vituo au kuondolewa kwa makusudi. NEC itoe...
43 Reactions
242 Replies
22K Views
UCHAMBUZI WANGU KUELEKEA TAMATI YA KAMPENI KWA VYAMA VIKUU VITATU, CCM, CHADEMA NA ACT WAZALENDO Leo 20:20hrs 25/10/2020 Nimefuatilia kampeni za uchaguzi kwa wagombea wakuu Watatu,Ndugu John...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi kama raia mwema natambua zimebaki siku 3 kufanya uchaguzi ili kupata viongozi wetu ninaombea taifa langu livuke kikazwo hiki. Aidha ninatoa wito ufuatao: 1. Kama alivyokwisha ahidi Rais wetu...
0 Reactions
2 Replies
794 Views
Mtu ye yote anayehangaika na mikakati ya kuweka wapiga kura hewa, kuandaa watoto na wasio na sifa za kupiga kura ili wapige kura, kuiba kura, kuongeza vituo hewa na kuongeza kura za ziada kwenye...
14 Reactions
32 Replies
2K Views
Amesema meli iliyopokelewa leo kwa mbwembwe na wanaCCM si ya Tanzania bali ni mali ya DRC. Ameongeza kuwa ni aibu Tanzania kutokuwa na meli na kutegemea ya DRC Chanzo: Zitto kabwe on all social...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Tulipoaminishwa CCM itauwawa na wana CCM kutoka CCM kwenda upinzani ilikua sahihi kwa wakati huo kwa sababu watu walikua watiifu kwa chama na walipikwa kwenye chama nakufahamika nje ndani ya...
1 Reactions
1 Replies
983 Views
Tanzania Intelligence and Security Service ni idara iliyo kama roho ya Taifa. Ikitokea Taasisi ikapwaya basi ni dhahiri taifa halitakua salama kisiasa, kiuchumi na Kibiashara. SIASA Ikiwa TISS...
7 Reactions
40 Replies
8K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema, amejisikia vibaya Yanga Sc walivyoifunga timu ya Usalama kwenye mchezo wa hivi karibuni Amesema Jeshi la Polisi ndio wanaolinda usalama wa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari ya Jumapili mabibi na mabwana, niende moja kwa moja kwenye kichwa cha habari! Kwanza nashukuru Mungu kwa uhai kwangu kwako pia mpaka unasoma ujumbe huu naamini upo vzr, pia niwape pole kwa...
10 Reactions
80 Replies
6K Views
Dodoma. Mgombea urais wa Chama cha Sauti ya Umma (Sau), Muttamwega Mgaywa amewataka Mawaziri watatu wa serikali ya Rais John Magufuli kwamba hatawaacha pindi akiingia Ikulu. Mbali na mawaziri hao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro amesema majeshi yote yameungana na tayari yamesambazwa kwenye mikoa mbali mbali ikiwemo Arusha ili kusimamia uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano ijayo...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Hii ni wiki ngumu kwa NEC na Wasimamizi wao wa uchaguzi kwa ngazi ya majimbo hasa katika suala la utoaji wa matokeo. Kwa miaka kadhaa kuna dhana imejengeka miongoni mwa watu kwamba Rais alisikika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo katika pitapita zangu (browsing) YouTube nimekutana na hii habari ya Tanzanite TV. Jionee na jisikilizie mwenyewe... Baada ya kuisikiliza habari hiyo, nikatafuta chanzo walichokielezea...
11 Reactions
235 Replies
36K Views
CCM mliambiwa lakini mkakataa! Si mnaona kinachoendelea hapa nchini kwa sasa? Je, hivi ndivyo mnavyopenda itokee kila baada ya miaka mitano? Sasa kama uchaguzi ni uadui tutakuja kuendelea kweli...
1 Reactions
6 Replies
784 Views
Kwanza naomba niweke bayana kwamba mimi siyo mfuasi wa Chama chochote cha siasa. Mnamo mwaka 1994 Mwl aliandika Kitabu alichokipa jina UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA, inasemekana...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna stress kubwa sana wakati wa kufuatilia matokeo ya kura na hasa kama mgombea wako anashindwa kila sehemu. Wengine stress hizi zinawaumiza sana kiafya na hata kukatisha maisha yao depending na...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…