Uchaguzi 2020 Fanya hivi kwenye simu yako kujua kituo chako cha kupigia kura

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,001
9,866
JE WAJUA? SIMU YAKO INAWEZA KUKUJULISHA KITUO CHAKO CHA KUPIGIA KURA?

Kwa simu yako bofya namba *152*00# kisha chagua namba 9(Uchaguzi Mkuu), kisha chagua namba 1(Uhakikiwa Taarifa za Mpiga Kura)

Ingiza namba ya kadi ya mpiga kura bila kuweka herufi ‘T’ wala alama ‘-‘

Utapokea ujumbe kukuambia ombi lako limepokelewa na linashughulikiwa, kisha utapokea ujumbe mfupi wenye taarifa na kituo cha kupia kura


1603832059141.png
 
Back
Top Bottom