Uchaguzi 2020 Rais Magufuli atangaza rasmi kuwa kesho Oktoba 28, 2020 itakuwa ni siku ya mapumziko ya Kitaifa

Mocumentary

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
768
1,959
Rais Magufuli ametangaza rasmi kuwa kesho Oktoba 28, 2020 itakuwa ni siku ya mapumziko ya Kitaifa ili kuwapa fursa Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura kwenda kupiga kura "nawaomba tukapige kura, amani ikatawale wakati wa kupiga na baada ya kupiga kura" Rais Magufuli
===

Rais Dk. John Magufuli ametangaza rasmi kuwa kesho Jumatano Oktoba 28, 2020 itakuwa ni siku ya mapumziko ya Kitaifa ili kuwapa fursa Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura kwenda kupiga kura; “nawaomba tukapige kura, amani ikatawale wakati wa kupiga na baada ya kupiga kura.”
 
Magufuli ni hopeless sinner!Mara zote duniani kufunga mitandao na internet,kutumia jeshi na intelligence katika kuendesha uchaguzi ndiyo imekuwa silaha ya mwisho ya madikteta wote waliokuwa wanakaribia kuanguka madarakani... I never thought CCM inaweza kuja kuanguka kwa style hii na kwa mbinu za kijinga hivi.
 
Atakayempigia kura Joni ni fyatu pekee.

Wanufaika wa mfumo hawazidi hata mia mbili.

Kwa makadirio ya haraka, tukijumlisha wanufaika wa mfumo na wajinga wanaotegemewa na ccm, wote kwa pamoja hawazidi milioni mbili (ambao wanatarajiwa kupiga kura).

Vijana, wahitimu, watumishi, wafanyabiashara, wajasiriamali, hawa wote wana uchu wa kuiadhibu sisiemu na magufuli wake (mgombea wa chakubanga).

Hawa ni kundi kubwa linalofika milioni kumi na kitu (ambao wanatarajiwa kupiga kura).

Hapa bila kutumia migambo na kuzima watsapu, Joni unaangamia.

Sioni kama Joni ana chaguo lingine zaidi ya kuzima watsapu na kutumia migambo wanaoruka ruka hovyo barabarani kana kwamba wako kwenye TV REALITY SHOW ya Anodi shozniga.
 
Magufuli ni hopeless sinner!Mara zote duniani kufunga mitandao na internet,kutumia jeshi na intelligence katika kuendesha uchaguzi ndiyo imekuwa silaha ya mwisho ya madikteta wote waliokuwa wanakaribia kuanguka madarakani... I never thought CCM inaweza kuja kuanguka kwa style hii na kwa mbinu za kijinga hivi.
Lissu ni mwanaume sanaaaa, Yan ametisha
 
Back
Top Bottom