Huu ni wosia Mzito kutoka team X team yakuhakikisha CCM anabaki kwenye Dola miaka inayo au laa mbeleni wategemee kugawana fito.
Na hii ni baada yakuonekana uchaguzi wa mwaka huu 2020 wenye Dola...
Hii ndio mara ya kwanza KUB kuondoka wa aibu kubwa maana waliomtagulia wote hawakuwa na kashfa kubwa kama hizi ambazo wengi wansema sio tu kupata tuhumu bali pia kuna uchunguzi unafanywa hivyo...
Shehe wa mkoa wa Dsm Dr Alhad Mussa Salum amekutana na Balozi wa Marekani nchini Mh Donald na kuzungumzia maswala mbalimbali yanayohusu uchaguzi mkuu.
Balozi Donald ameridhika na jinsi shehe...
Magufuli akiwa Arusha
Amesema ameguswa sana kutokana na mapokezi ya aina yake tangu alipokuwa akiingia mjini Arusha ameona majani ya masale yameinuliwa juu na hata hapo mkutanoni yapo, amesema...
Jaji Msataafu Thomas Mihayo ambaye ni Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) amesema kuwa mpiga kura aliyehama sehemu aliyojiandikisha kupiga kura atatakiwa kusafiri kwa muda ili apate haki ya...
WanaJF,Salaam!
Ninapendekeza kifanyike kikao cha haraka kitakachowakutanisha wagombea wenye nguvu kwa upande wa Zanzibar na Tanganyika ikiwezekana hata wasiokuwa na nguvu wahusishwe.
Kikao hicho...
Moja kwa moja hojani,
Kwa mjibu wa website ya CCM, na Kwa mjibu wa kauli ya mwenezi wa CCM ndugu Hamphuley Polepole, CCM inawanachama wa kudumu M.14+
Na kikawaida, ili uwe mwanachama wa Chama...
BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limewataka Watanzania waiheshimu na kuisikiliza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kuwa ndiyo mratibu wa kisheria wa uchaguzi wa Tanzania.
Aidha...
Jirani zetu wa Kenya jana wakiongozwa na Rais Uhuru Mwigai Kenyatta wamezindua report yao ya BBI(Building Bridges Initiative)kwa kusudi la kuwaunganisha Wakenya na kuondoa Ubaguzi, ukabila na...
Viongoz wa CHAUMMA Tupo mazikoni kwa wakala wetu aliyepigwa risasi Jana Usiku majira ya saa 6 usiku katika kituo cha kupiga kura skuli ya vitongoji Jimbo la wawi.
Wakala wetu wa CHAUMMA aliyeuawa...
Binafsi nilipoandika uzi wa Tanzania Kwanza watu walinishambulia na katika kunishambulia waliweka maneno HAKI na AMANI.
Hivi nini kitangulie, haki au amani? Kwa sababu penye vurugu hata hiyo haki...
Kulingana na kampeni zao nimeona CHADEMA wamekuwa na matumaini makubwa kupata kura nyingi katika uchaguzi huu mkuu. Ila kwa watu wenye upeo na wenye uwezo wa kuona mbali tunajua mgombea wao...
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU) Mhe Mtamwega Mgaiwa amewataka wagombea wenzake wa kiti cha Urais kutokuwa na asilimia mia ya kushinda kwani wananchi ndio wenye uamuzi wa...
Benki ya maendeleo ya Afrika imepitisha mkopo wa dola za kimarekani milioni 50.7 sawa na zaidi ya bilioni 117 za kitanzania kugharamia mapambano dhidi ya Covid.
Serikali inayoongozwa na Rais John...
RAIS Dk. John Magufuli amewataka Watanzania kutumia utashi wao kuchagua viongozi wanaowafaa, watakapokwenda kwenye vituo vya kupigia kura kesho.
Akizungumza jana wakati wa uzinduzi wa msikiti...
Dah,
Muda huu Saa Nane na Nusu usiku ndo naingia home. Nimetoka Stesheni saa kumi na moja jioni, gari ilikua nusu tank but kufika Victoria imeisha mafuta Sababu ya Foleni. Nimeingia hasara...
Ndugu zangu wanajamii Forums,
Mimi ninaamini kwamba hakuna mtu awaye yote asiyependa kutendewa HAKI katika mazingira ambayo anajua kwamba HAKI hiyo ni ya muhimu katika kipindi husika au kwa...
Watanzania tupo zaidi ya Milion 60 now walio jiandikisha kupiga kura ni Milion 29 na huenda wenye interesting na kwenda kupiga kura ni chini ya Milion 15.
Watu wa vyama vya CCM Chadema na vingine...
Mhubiri wa neno la Mungu Ostadh Mwaipopo ameongea na wanahabari na kutoa maoni yake kuhusu kauli ya Masheikh ya kumuonya Sheikh Ponda aliyetumia neno la Mungu kuwaapisha baadhi ya viongozi wa...