TANZIA Wakala wa CHAUMMA visiwani Pemba auawa

Oct 1, 2020
7
22
Viongoz wa CHAUMMA Tupo mazikoni kwa wakala wetu aliyepigwa risasi Jana Usiku majira ya saa 6 usiku katika kituo cha kupiga kura skuli ya vitongoji Jimbo la wawi.

Wakala wetu wa CHAUMMA aliyeuawa anaitwa Muhammad khalfan Mjaka.

Maziko ni baada ya sala ya alasir Leo tarehe 27 /10/2020.

INALILAH WAINA ILAIHI RAJOIUN.

ALI OMAR JUMA
MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR -CHAUMMA
KATIBU MKUU - CHAUMMA

+255 772 674 080
 
Magufuli na mwinyi hawatokaa wawe Marais Tena wa nchii hii save hii statement kwenye memory yako.
This is your wishful thinking.

Zanzibar washaua watu kadhaa. Kesho wala hawahitaji kuua mtu maana kura zao zimetosha leo.

Magufuli yeye lazima atangazwe. Nahisi anaweza hata kumfukuza kazi Mkurugenzi wa NEC keshokutwa akiona kuna ubishi.

Mark this as well harafu tutarudi kabla ya 1 Nov 2020
 
Anahitaji kura 270,000 tu kati ya zote. Na hizi atakuwa kazipata leo tu by saa 11 alfajiri.🙄

Harafu huyu na Magufuli wake siku za Ibada wanawahi mbele kabisa. Sijui huwa wanamwambia nini Muumba wao?
Dola haigawanywi kwa hesabu zetu hizi. Madaraka hayana mambo ya logic. Ndio maana Daud aliyekuwa mchunga ng'ombe alipewa madaraka badala ya ndugu zake waliokuwa watanashati
 
This is your wishful thinking.

Zanzibar washaua watu kadhaa. Kesho wala hawahitaji kuua mtu maana kura zao zimetosha leo.

Magufuli yeye lazima atangazwe. Nahisi anaweza hata kumfukuza kazi Mkurugenzi wa NEC keshokutwa akiona kuna ubishi.

Mark this as well harafu tutarudi kabla ya 1 Nov 2020

Kabisa. Anaota huyo
 
Viongoz wa CHAUMMA Tupo mazikoni kwa wakala wetu aliyepigwa risasi Jana Usiku majira ya saa 6 usiku katika kituo cha kupiga kura skuli ya vitongoji Jimbo la wawi.

Wakala wetu wa CHAUMMA aliyeuawa anaitwa Muhammad khalfan Mjaka.

Maziko ni baada ya sala ya alasir Leo tarehe 27 /10/2020.

INALILAH WAINA ILAIHI RAJOIUN.

ALI OMAR JUMA
MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR -CHAUMMA
KATIBU MKUU - CHAUMMA

+255 772 674 080
Hakuna popote duniani bunduki ilipopata kuleta amani. Hakuna popote duniani uangamizaji raia ulipata kuwaweka madarakani watawala kwa amani.
Tumuombe Mwenyezi Mungu atuvushe salama
 
Anahitaji kura 270,000 tu kati ya zote. Na hizi atakuwa kazipata leo tu by saa 11 alfajiri.

Harafu huyu na Magufuli wake siku za Ibada wanawahi mbele kabisa. Sijui huwa wanamwambia nini Muumba wao?
Sasa wew unataka kujua muumba anazungumza nini na waja wake
 
Back
Top Bottom