Mbowe ndio KUB anayeondoka kwa aibu kubwa

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,895
22,659
Hii ndio mara ya kwanza KUB kuondoka wa aibu kubwa maana waliomtagulia wote hawakuwa na kashfa kubwa kama hizi ambazo wengi wansema sio tu kupata tuhumu bali pia kuna uchunguzi unafanywa hivyo ataanza kuhudhuria kesi ambazo mwanzo ndio alizipigania ziondoke katika jamii

Ma KUB walimtagulia hawakupatwa na haya mbayo hata tu kutuhumia kwake ni najisi Kabisa hata kama hatakutwa na hatia itakuwa laana kwa nafasi hiyo muhimu bungeni kwa wapinzani ,mfano mtu kama lwakatale alikuwa KUB bora na hata wananchi wa bukoba wakampigia kura tena alipohama chama.

Unyanyasaji wa kigono,rushwa na matumizi mabaya ya pesa za wenzake zinaonesha kuwa mbowe alipigania kitu ambacho hakukiishi kabisa.

USSR
 
Ajali kazini tu ile tunasubiri kelele za mitandao ziishe tumchomoe pot

Jr
Anakesi nyingine ya kuwatunza wahamiaji haramu pale mboga kisha anawafaulisha Moro usiku kwa usiku washkaji wa 92wamemuumbua
 
Hana jipya..kaikandamiza sana demokrasia ndani ya chadema...ukitaka uenyekiti tu kosa..

Kujilipa kupitiliza...million 50 kwa mwezi na posho zingine.

Kapoteza sana wabunge wa chadema...wengi wamehama maana wanaona jahazi linazama..

Baraza la mawaziri kivuli kaweka watu vilaza...watu kama James mbatia anawachukulia poa...

Kambi kuu ya upinzani haikua na jipya lolote.!
 
Yaani mtu anakwapua bil 8 bila ya aibu. Alafu KUB je angekuwa waziri mkuu. Angehamisha pesa zote za ofisi ya Waziri mkuu na kuzipeleka Uswiss. Any way kama ulivyosema nafikiri jela ipo inanukia Bia yetu

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom