Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tumeshinda Bara na Visiwani. Tena kwa ushindi mkubwa sana. Inashangaza watu wamejikunyata tu hata hawaonekani kushangalia. Why? Huu ni unafiq at the highest stage. Tulipaswa kuingia mitaani...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
The people Kigoma Urban constituency have spoken very loudly and clearly that enough is enough of wasting their precious time of advocacy for issues that matters to them. Over the years, you spent...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni kama nilivyowahi kusema na ntaendelea kusema kwamba upinzani nchini Tanzania ni kiinimacho na upo kwa ajili ya kula ruzuku. Mimi ni mmoja wa watu ambao bila kutetereka nimemuunga mkono raisi...
22 Reactions
96 Replies
6K Views
Hulka ya binadamu ni kupenda mazuri yote apate yeye. Pamoja na kwamba CCM inasheherekea ushindi huu wa kishindo lakini kuna baadhi ya viongozi hasa Mawaziri na Manaibu Waziri wanaogopa sana...
0 Reactions
0 Replies
630 Views
Nchi imeingia aibu ambayo kwa namna moja au nyingine wanadau maendeleo hatawataunga mkono misaada na mikopo kwa Tanzania Ili kuondoa aibu hii nafasi 10 za Rais wafuatao wanaweza wakateuliwa kuwa...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
1. Vituo vya Kupigia 'Kura' vilichelewa Kufunguliwa asubuhi halafu Mawakala wa CCM walipewa Chai na wao Kupigishwa Miayo tu 2. Mawakala wao 'wametishiwa' mno Kuvunjwa Bandama, Makoromelo, Kutekwa...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Tangu chaguzi za vyama vingi zianze tumezoea kuona wagombea urais wa upinzani ambao wamewahi kuwa wanachama wa CCM au TANU huko nyuma. Sina hakika kama huyu Tundu Lissu aliwahi kupitia chipukizi...
5 Reactions
77 Replies
8K Views
Heshima kwenu wakuu" system" Sasa ni dhahili nyie waendeleazaji na waongozaji wa Taifa mmeona ukweli ulipo. Sasa mnaona nini watanzania wanataka. Ninyi mna macho na masikio mawili mawili mnasikia...
41 Reactions
162 Replies
12K Views
"SASA BASI" ndio kaulimbiu mpya ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 Tumeonewa sana, Tumenyanyaswa sana SASA BASI. Ngoja tuone. Inaonyesha dalili za kukata tamaa. Maendeleo hayana...
7 Reactions
50 Replies
5K Views
Ndugu Boniface Jacob usishangae sana, wala usione kama usaliti kuhusu pingamizi za wana ACT dhidi yako na wagombea nafasi zingine wa CHADEMA ndani ya Jimbo la Ubungo. Zitto analaumiwa bure tu kwa...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Pascal Mayalla anaweza gombea kupitia CCM? i bet so. Ndo chama pekee ambacho mtu ambaye atateuliwa kugombea kupitia chama hicho atapata Ubunge. Na hili ndilo jambo ambalo limewafanya wengi...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Katika mantiki kwa hali hii ya kuwa na wabunge wa chama kimoja kwa asilimia mia moja. Hatuwezi kutenganisha vikao vya chama na bunge la nchi. Hii ni hatari kwa mustakabali wa Maendeleo ya nchi...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Kwa ufupi tumeiona kwa mwelekeo huu Zanzibar Maalim ameongoza lakini huenda akatangazwa Mwinyi (CCM itashangilia na ACT wazalendo na kambi ya upinzani watabaki wenye huzuni). Upande wa Madiwani...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu amesema atagombea ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2020 na ana uhakika ataibuka mshindi. Sugu ameeleza hayo leo Jumatano...
10 Reactions
80 Replies
12K Views
Katika uchaguzi huru na wa haki, kila mpiga kura huwa na uhuru wa kuchagua mgombea yeyote anayeona anafaa lakini pia huwa huru kwa lolote ikiwa kura yake ameiharibu, amechagua kiongozi ambaye...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Hongereni kwa Chama cha mapinduzi kwa ushindi mlioupata, haijalishi mmeshinda kwa halali au siyo kwa halali (sina ushahidi juu ya hilo), ila kwa kuwa tayari mmeshashinda basi haina budi wananchi...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Unaweza kuhisi kama ni ndoto, Mbeya ambayo ni moja ya ngome ya CHADEMA kwa sasa imetikiswa na kugawanyika vipandevipande na hii yote ni kutokana na mabadiliko ya kweli chini ya Rais Magufuli...
5 Reactions
50 Replies
5K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Ni dhahiri sasa Tanzania ya Kijani imewezekana. Na hii ni kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanyika ndani ya chama chetu. Viongozi wetu wametupeleka ng'ambo kusoma ili...
17 Reactions
102 Replies
7K Views
Mimi ni mmoja wa watu ambao wanaamini kwamba kama taifa, tulipaswa kuingia katika mfumo wa vyama vingi na katiba mpya pamoja na tume huru ya uchaguzi. Sitazungumzia mambo ya kiufundi na ya...
49 Reactions
201 Replies
18K Views
Habari za jioni watanzania! Kwa kipindi cha takribani mwezi mmoja tumekuwa kwenye mchakato wa uchaguzi. Katika kipindi chote hiki Watanzania tumeonesha ustaarabu wetu kwa kufanya kampeni safi...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…