Bunge la 2020/2025 halina tofauti na vikao vya CCM

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,565
15,920
Katika mantiki kwa hali hii ya kuwa na wabunge wa chama kimoja kwa asilimia mia moja. Hatuwezi kutenganisha vikao vya chama na bunge la nchi. Hii ni hatari kwa mustakabali wa Maendeleo ya nchi yetu. Otherwise tubadili katiba ya nchi kuwa na mfumo wa chama kimoja.

Nawasilisha.
 
Kwahy tuendelee kubembeleza wabunge waliokuwa wanatoka bungeni wakae ili kujadili maendeleo.?

Mtu una-support watu tufungiwe ndani kwa sababu ya coronavirus halafu leo tuwape serikali.! Pumbavu kabisa
 
Huyo anayejiita mwendawazimu hana uwezo wa kuona mbali yeye alitaka kuwakomoa tu Chadema kwa kila namna. Kwa akili yake sasa kashinda lakini hajui athari kubwa kwa Nchi inayoweza kutokea kama BEBERUS wakiamua kutuwekea vikwazo vya kiuchumi vya nguvu. Hilo likitokea itakuwa patashika nguo kuchanika.

Wananchi wameamua kwa kishindo.. nchi huru ndio hii.. amani na upendo tele.. uchaguzi umeisha salama

Historia imeandikwa

Magufuli Oyeeeeeeeee
💛 💚 💛 💚 💛
 
Huyo anayejiita mwendawazimu hana uwezo wa kuona mbali yeye alitaka kuwakomoa tu Chadema kwa kila namna. Kwa akili yake sasa kashinda lakini hajui athari kubwa kwa Nchi inayoweza kutokea kama BEBERUS wakiamua kutuwekea vikwazo vya kiuchumi vya nguvu. Hilo likitokea itakuwa patashika nguo kuchanika.
Mie namuwaza yule mama wa mtwara vijijini. Yaani kambi ya upinzani atakua yeye tu..kwahiyo atakua KUB. Watampa lile V8 la mbowe. Hotuba zote za upinzani wakati wa bajeti ataandaa na kusoma yeye. Kamati zote za bunge atakua mjumbe ambaye anawakilisha upinzani . Kwakweli yajayo hayafurahishi ila yanachekesha
 
Kwahy tuendelee kubembeleza wabunge waliokuwa wanatoka bungeni wakae ili kujadili maendeleo.?

Mtu una-support watu tufungiwe ndani kwa sababu ya coronavirus halafu leo tuwape serikali.! Pumbavu kabisa
Sawaa komaeni nyie wenyewe tuone maendeleo,
Asaiv amna visingizio vya upinzani
 
Back
Top Bottom