Wana CCM wenzangu mnanishangaza sana. Mwenyekiti tutamwambia haya myafanyayo

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,321
11,410
Tumeshinda Bara na Visiwani. Tena kwa ushindi mkubwa sana. Inashangaza watu wamejikunyata tu hata hawaonekani kushangalia. Why? Huu ni unafiq at the highest stage.

Tulipaswa kuingia mitaani kufurahia sasa tumeufuta upinzani. Hakutakuwa na wa kutupinga au kuzuia maendeleo Tanzania nzima.

Ukiondoa Nkasi ambako yule Mkurugenzi ametangaza mpinzani hawa waachwe na mpinzani wao miaka 5 bila maendeleo waone joto ya jiwe.

Wana CCM tunashinda mnajifungia ndani ni kama mna huzuni? Tunawapoint out wote mliofanya hayo tunawasemea kwa mwenyekiti mnakuwa kama hamwamini kuwa tumeshinda? Why?

Na tunajua kuna ambao ni wenzetu ila mlikuwa mnapiga kura kwa upinzani tunajua.tutaanza kukisafisha chama so soon ninyi si mlijua ya mbele? Sisi tunajua ya nyuma.

Tutaelewana tu hamna shida.
 

Tulionya tukapuuzwa, Laana ya Dr. Slaa ni kali
 
Na wewe nenda kaishi na dr slaa... Maana kila sehemu dr slaa ,dr slaa... Kama unampenda sana kaishi naye.


Tulionya tukapuuzwa, Laana ya Dr. Slaa ni kali
 
Aibu ya nini? Tumejipanga tumeshinda....nyie endeleeni kulia lia. Kwenye mashindano lazima ujipange

Aibu imewajaa! Ushindi mzuri ni ule wa kumshinda mpinzani wako kwa haki! Ila siyo ule wa kubebwa! Maana hutengeneza aibu isiyo na kificho, usoni.
 
Aliyeshinda analia aliyeshindwa analia so what's going on? Taifa zima limetumbukia kwenye hudhuni shida nn? Sote tumekosa furaha dah! Maajabu.
Tumeshinda Bara na Visiwani. Tena kwa ushindi mkubwa sana. Inashangaza watu wamejikunyata tu hata hawaonekani kushangalia. Why? Huu ni unafiq at the highest stage...
 
CCM yoyote hata yule mchumia tumbo akitumia akili ndogo tu, lazima umuone Magufuli kivyengine,
Kama kaweza kufanya uhuni huu atashindwa na nn?
Ushauri wangu Wakae mkao wa kula.
 
Wote vichwa chini.
Alafu huku mtaaani kwetu watu wameshasahau Kama wamepiga kura.
Maana hakuna anyeulizia matokeo.
Yaani walipiga kura Bora LIENDE.
HAKUNA amsha amsha.
 
Aibu imewajaa! Ushindi mzuri ni ule wa kumshinda mpinzani wako kwa haki! Ila siyo ule wa kubebwa! Maana hutengeneza aibu isiyo na kificho, usoni.
Nilikuwa namwangalia kalamaganda hiyo jana wakati akihojiwa daaah wanatia huruma...
"Wameshinda" hawana furaha...
 
Tanzania Butwaa!!
Kupatwa Kwa Tanzania Huku, Utapaje Ujasiri Wa Kuingia Mtaani Kushangilia. Aibu Ni Juu Ya Ccm Wenyewe Na Wanachama Wao!! Ushindi Usio Na Mvuto


Mmeiba Mpaka Mmepitiliza Yaani
 
Back
Top Bottom