Wafuatao wanaweza wanaweza kuteuliwa na Rais kuwa wabunge kuondoa aibu za kimataifa

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,317
7,509
Nchi imeingia aibu ambayo kwa namna moja au nyingine wanadau maendeleo hatawataunga mkono misaada na mikopo kwa Tanzania

Ili kuondoa aibu hii nafasi 10 za Rais wafuatao wanaweza wakateuliwa kuwa wabunge kuwakilisha upinzani bungeni

Tena kati ya wabunge 10 saba watakuwa wa upinzani

1. John Shibuda

2. Queen Simbeya

3. Augostino Mrema

4. Na wale wa vyama vidogo utaongezea

Time will tell
 
Wapenda mabadiliko tutatenda haki ndani ya hii miaka mitano mingine ya jasho na damu. Umakini unahitajika sana.
 
Unamjua vizuri mtu anaeitwa Magufuli au unamsikiaga tu. Yaani Magufuli kabisa ampe ubunge mpinzani wake naona unaota.

Hebu tusiende mbali Sana tukumbuke hii kauli fupi tuu juu ya huyu mtoa hizo nafasi za ubunge.

"Nitahakikisha kufikia 2020 upinzani unakufa" Magufuli
 
Unamjua vizuri mtu anaeitwa jiwe au unamsikiaga tu. Yani jiwe kabisa ampe ubunge mpinzani wake naona unaota.
Hebu tusiende mbali Sana tukumbuke hii kauli fupi tuu juu ya huyu mtoa hizo nafasi za ubunge.
"Nitahakikisha kufikia 2020 upinzani unakufa" Jiwe
Hamjui Magufuli huyu, Magufuli ni mtu asiependa ushindani kabisa wala ku crashiwa kwenye mambo yake, anapenda ku abudiwa tu kwa kila kitu.
 
Anayesema Magufuli hawezi kuteua mpinzani, kwani mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro alitokea wapi?
 
Mara zote alikuwa akilalamika kuhusu kukwamishwa na wapinzani sasa hawapo bungeni, awateuwe wakamkwamishe tena! Nitamshangaa, na hata shetani atamshangaa vilevile!
 
Naona umetaja list ya CCM B tangu kitambo! Kweli ili uwe mwana CCM mzuri lazima uwe mnafiki.
 
Nchi imeingia aibu ambayo kwa namna moja au nyingine wanadau maendeleo hatawataunga mkono misaada na mikopo kwa Tanzania

Ili kuondoa aibu hii nafasi 10 za Rais wafuatao wanaweza wakateuliwa kuwa wabunge kuwakilisha upinzani bungeni

Tena kati ya wabunge 10 saba watakuwa wa upinzani

1. John Shibuda

2. Queen Simbeya

3. Augostino Mrema

4. Na wale wa vyama vidogo utaongezea

Time will tell
Mmyika, Msigwa, Wasira, Makongoroo na Sipunda ubwabwa.
 
Back
Top Bottom