Election Day is tomorrow.
I was told by the JF powers that be that we can’t make predictions about it.
So I’m not gonna make a prediction one way or the other.
But let’s face it, most of us...
Vyama tisa vya upinzani vimetoa tamko la kukubali matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika Oktoba 28, 2020 na mgombea wa CCM, Dkt. John Magufuli kuibuka mshindi baada ya kupata 84.4% ya...
Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.
Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa...
Najiuliza tu ikiwa uchaguzi SM ilibidi watu wabembelezwe kujitokeza na bado muitikio ulikuwa mdogo kuliko matarajio sasa tumepita katika uchaguzi mkuu mambo ni yaleyale wengi hawakupiga kura.
Je...
What is a police state?
Per the Oxford Learner's Dictionary, a police state is a "country where people’s freedom, especially to travel and to express political opinions, is controlled by the...
Wakuu Salaam:
Nazunguka kila site kufatilia kinachojiri kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi.
Mh.Aidah Khenan ameshinda kupitia CHADEMA dhidi ya Kessy kule Nkasi Kaskazini. Sasa...
UTANGULIZI
1.1 Kwa mujibu wa ibara ya 145 na 146 Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Serikali za Mitaa ni vyombo vya haki na vyenye mamlaka ya kushiriki na kushirikisha wananchi katika...
Hakuna kitu kinauma duniani kama kugeuzwa mbuzi wa kafara.
Walichofanyiwa Kessy na Ghasia huenda kikawa kichomi kimoja kibaya sana kwenye maisha yao yaliobaki hapa duniani.
"Kwanini mimi...
Kuandaa maandamano ni fani kunahitaji mipango madhubuti, hata kama una ajenda muhimu huwezi kukurupuka na kutangaza leo au kesho kuna maandamano, Seif alikuwa na ajenda lakini hakuwa na mipango...
UPDATES:
05:55 Asubuhi: Viongozi wa vyama vya ACT na CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Zitto Kabwe wanaingia kwenye ukumbi ambapo watafanya mkutano na waandishi wa habari...
Nilitegemea hadi muda huu mmeshaitisha press conference kuelezea kinachojiri kuliko kila mtu kulia kivyake, Ester Bulaya analia kivyake, Heche analia kivyake, Zitto kivyake na Lema kivyake...
Rais Mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi Novemba 2, 2020 ataapishwa kuwa Rais wa awamu ya nane wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Sherehe hiyo itafanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar...
Upinzani ni jicho la pili la Serikali, hii ni kauli iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mama Anna Mgwihra alipokuwa anahojiwa na shirika la Taifa TBC mapema Leo alipotakiwa kuzungumza...
Uchaguzi wa Jana ni zaidi ya vituko.
Tujikumbushe kidogo 1995 kwenye uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi baada ya sote baada ya ushauri wa baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kukubaliana tuwe na mfumo...
Wakuu habari za muda huu!
Tukiwa tunapokea matokeo kutoka sehemu mbalimbali ya Tanzania, ikionyesha CCM inashinda kila mahali kwa kura nyingi sana.
Mimi ni kijana nilizaliwa (1995) nilikuta...
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha...
Hatimae chama pendwa cha CHADEMA kimepata mbunge mmoja mpaka sasa aitwae Aidah Kenani wa Nkasi kaskazini baada ya kumuangusha Bwana Ally Keissy, mbunge machachari kwa kutetea hata upuuzi wa chama...