Rais kugawa hela hadharani, munalionaje hilo watanzania wenzangu?

kamtesh

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
1,395
Reaction score
514
Kwa cheo chake, kwenda hadharani, njiani kwenye miradi ya serekali kutoa hela mbele.ya umati nikuonyesha nini?

Kuna ustawi wa jamii namafungu yao na vyombo na taasisi na wizara husika kuyafanyi kazi matatizo ya wananchi. Rais wakugawa hela hadharani, nitatizo hill tena kubwa mno.

Tuache ushabiki wa vyama tuseme ukweli. Rushwa ni adui wa haki. Kutoka hela ya umma kwenye muhadhara nikuamisha una na kuwajengea wananchi tabia na mfumo mmbaya wa omba omba kwamba kuna mtu mmoja mwenye hela, na ni Rais tuu, shida zako zote mlilie atatoa hela Palo hapo. Kiukweli nitabia mbaya ambayo inaanza kuota mizizi na tuokemee.

Lissu akisema tumekua omba omba kwa Taasisi ya Urais, ni kweli maana yeye anatuaminisha hivo.
Sijawahi ona Rais wa ufaransa anatoa hela hadharani. Hata Trump, au waziri mkuu wa Uingereza, au Rais wa China yaani ni kitendo kibaya sana kufanywa na Rais.
Sasa tunajiuliza hiki ni nini? Maana pana mstari mwembamba sana kati ya Rushwa na Takrima, na kati ya Rushwa na Msaada.

Wakati huu wauchaguzi TUME imelala sana. Ndo maana mgombea wa ccm ana diriki kusema.hadharani. Mukiniletea wa upinzani siwaletei maendeleo. Anaongea nikama tayari kesha shinda, anatoa rambi rambi hadarani, TUME (NEC) wapo kimia. Angeyafanya mpinza, ingeoneka anaenda kinyume na maadili. Tutafakali haya, na muomba Rais abadilike na hizi sifa na kujimwambafai!
 
Sasa basi, twende na Lissu.

Rais Magufuli ni kipenzi cha Watanzania lazima awape chochote alichonacho Watanzania wenzake
 
Upuuzi huu tabia zakuhalalisha uovu na tambia mbaya. Avjeni ushabiki wa vyama. Hata angeganya Lissu, au Lipumba au yeyote yule, ningekemea
 
Ni masikini akipata matako hulia mbwata subiri zimzoee huone atakavyo zificha mpeni kura ndiyo mtajua bombardier 10 kwa Cash
 
Rais Magufuli ni kipenzi cha Watanzania lazima awape chochote alichonacho Watanzania wenzake
Awape anazitoa wapi ? (kama ni mshahara wake, basi huenda tunamlipa mwingi kuliko kiasi hivyo apunguziwe)..., ila kama ni Kodi zetu basi matumizi anayozifanya hizo kodi bila kutuuliza hatutendei haki....
 
Rais Magufuli anajenga reli atashindwa kutoa laki moja kusaidia wahitaji ?
Awape anazitoa wapi ? (kama ni mshahara wake, basi huenda tunamlipa mwingi kuliko kiasi hivyo apunguziwe)..., ila kama ni Kodi zetu basi matumizi anayozifanya hizo kodi bila kutuuliza hatutendei haki....
 
Unapoambiwa hii nchi ni maskini usidhani tatizo ni ela bali tatizo ni akili zetu kuanzia wananchi wa kawaida hadi viongozi.ndo maana kuna mwingine kwasababu tu yamadaraka aliyonayo anaweza kutapanya tu pesa na hakuna wakumhoji.
 
Usimfananishe Rais Magufuli na watu wa upinzani

Rais Magufuli aliletwa na Mungu kuisaidia Tanzania
Unajifariji tuu.ukweli unao.hatoboi hata kwa kuroga.anamuogopa lisu ndo Mana visababu vya ovyo ovyo vingii
 
Kwa cheo chake, kwenda hadharani, njiani kwenye miradi ya serekali kutoa hela mbele.ya umati nikuonyesha nini?

Kuna ustawi wa jamii namafungu yao na vyombo na taasisi na wizara husika kuyafanyi kazi matatizo ya wananchi. Rais wakugawa hela hadharani, nitatizo hill tena kubwa mno.

Tuache ushabiki wa vyama tuseme ukweli. Rushwa ni adui wa haki. Kutoka hela ya umma kwenye muhadhara nikuamisha una na kuwajengea wananchi tabia na mfumo mmbaya wa omba omba kwamba kuna mtu mmoja mwenye hela, na ni Rais tuu, shida zako zote mlilie atatoa hela Palo hapo. Kiukweli nitabia mbaya ambayo inaanza kuota mizizi na tuokemee.

Lissu akisema tumekua omba omba kwa Taasisi ya Urais, ni kweli maana yeye anatuaminisha hivo.
Sijawahi ona Rais wa ufaransa anatoa hela hadharani. Hata Trump, au waziri mkuu wa Uingereza, au Rais wa China yaani ni kitendo kibaya sana kufanywa na Rais.
Sasa tunajiuliza hiki ni nini? Maana pana mstari mwembamba sana kati ya Rushwa na Takrima, na kati ya Rushwa na Msaada.

Wakati huu wauchaguzi TUME imelala sana. Ndo maana mgombea wa ccm ana diriki kusema.hadharani. Mukiniletea wa upinzani siwaletei maendeleo. Anaongea nikama tayari kesha shinda, anatoa rambi rambi hadarani, TUME (NEC) wapo kimia. Angeyafanya mpinza, ingeoneka anaenda kinyume na maadili. Tutafakali haya, na muomba Rais abadilike na hizi sifa na kujimwambafai!
Kifupi ni kwamba ananunua kura.
 
Anawakumbushia wale Mapapaa Maraisi wa Sinza n.k..... Kumbe walikuwa watu wazuri kugawa pesa Hadharani.. So Raisi amejiongezea tena Cheo ya Upapaa
 
Kwa cheo chake, kwenda hadharani, njiani kwenye miradi ya serekali kutoa hela mbele.ya umati nikuonyesha nini?

Kuna ustawi wa jamii namafungu yao na vyombo na taasisi na wizara husika kuyafanyi kazi matatizo ya wananchi. Rais wakugawa hela hadharani, nitatizo hill tena kubwa mno.

Tuache ushabiki wa vyama tuseme ukweli. Rushwa ni adui wa haki. Kutoka hela ya umma kwenye muhadhara nikuamisha una na kuwajengea wananchi tabia na mfumo mmbaya wa omba omba kwamba kuna mtu mmoja mwenye hela, na ni Rais tuu, shida zako zote mlilie atatoa hela Palo hapo. Kiukweli nitabia mbaya ambayo inaanza kuota mizizi na tuokemee.

Lissu akisema tumekua omba omba kwa Taasisi ya Urais, ni kweli maana yeye anatuaminisha hivo.
Sijawahi ona Rais wa ufaransa anatoa hela hadharani. Hata Trump, au waziri mkuu wa Uingereza, au Rais wa China yaani ni kitendo kibaya sana kufanywa na Rais.
Sasa tunajiuliza hiki ni nini? Maana pana mstari mwembamba sana kati ya Rushwa na Takrima, na kati ya Rushwa na Msaada.

Wakati huu wauchaguzi TUME imelala sana. Ndo maana mgombea wa ccm ana diriki kusema.hadharani. Mukiniletea wa upinzani siwaletei maendeleo. Anaongea nikama tayari kesha shinda, anatoa rambi rambi hadarani, TUME (NEC) wapo kimia. Angeyafanya mpinza, ingeoneka anaenda kinyume na maadili. Tutafakali haya, na muomba Rais abadilike na hizi sifa na kujimwambafai!
Jibu Ni moja tu Magufuli nimtoa rushwa Tena Ni fisadi mkubwa.
 
Back
Top Bottom