Kadogoo: Tuliamini Lema ni Mandela wetu lakini katuangusha

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
16,277
2,000
Kada mkongwe wa CHADEMA na msaidizi wa Lema jijini Arusha anayejulikana kwa jina la Kadogoo anasema haamini kama Lema kakimbilia Kenya.

"Mimi ndiye niliyempa Lema jina la Mandela baada ya kukaa maabusu takriban miezi minne (4) na akaendeleza mapambano" anasema Kadogoo "Ila sasa katuangusha watu wa Arusha na wafuasi wa CHADEMA" ameendelea kusema " kweli wanasiasa hawaaaminiki"

Kadogoo anasema kwa mshangao "hadi nilipomsikia BBC ndio niliamini kuwa jamaa kakimbia mapambano". Kadogo anasema yeye na wenzake wengi wameamua sasa kuachana na siasa ili kujikita na kutunza familia zao kwani wanasiasa waliowaamini wamewaacha na wamekimbia na familia zao.

Brother "sisi tumetesa familia zetu kisa wanasiasa lakini wao wajanja wanapenda familia zao"

My take
Akili za kuambiwa changanya na zako.Leo hii vijana wengi wameacha shule,wamekuwa vilema au hata kupoteza maisha yao kisa ulaghai wa wanasiasa. Sasa hili ni fundisho.
 

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
3,861
2,000
Kumbe mlishamuandalia charge.

first count; utakatishaji fedha.

second count; kumiliki genge la uhalifu.

Poleni sana, mipango yenu michafu Mungu anazidi kuwaumbua.
 

Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
7,091
2,000
Bwashee kujenga Nchi na kulinda Raslimali zetu ni Ushamba bwasheeee
Ushamba ni kuwinda watanzania wenzako kisa mmetofautiana itikadi!Ushamba ni kuteka na kupoteza watu au kuua watu kisa uchaguzi!

Hakuna Rais aliyelinda rasilimali kama Nyerere,lakini hakubweteka na kuharibu nchi kama huyu mshamba wa chato!
 

Said Stuard Shily

JF-Expert Member
Jul 18, 2017
1,475
2,000
Ushamba ni kuwinda watanzania wenzako kisa mmetofautiana itikadi!Ushamba ni kuteka na kupoteza watu au kuua watu kisa uchaguzi!
Hakuna Rais aliyelinda rasilimali kama Nyerere,lakini hakubweteka na kuharibu nchi kama huyu mshamba wa chato!
Lissu alishamtukana Baba wa Taifa na Lissu ndo role model wenu
 

JOHNKEKE

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,084
2,000
Lema msanii, hasije akawa anakimbia madeni!
Maana tulishelezwa mzigo wa madeni aliyonayo, naye akasema ni sifa nzuri.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom