Gwajima na kisa cha kuwaita binadamu 'mbwa'

kitimtim

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
603
500
Kwako GWAJIMA

Kwanza tulianza kusikitishwa na video zako za ngono na wengine tukiamini wewe ni mtumishi wa mungu

Leo umeita wananchi (MBWA) hadharani kumsherehesha aliye kupa ubunge wa kuteuliwa

Napenda kukwambia wananchi walio dhulumiwa uchaguzi kuumizwa kufungwa kuuwawa sio mbwa

Mbwa ni mtu aliye kuwa mtetezi wa watu lakini baada ya kutupiwa nyama na kusahau alicho kuwa ana hubiri

Mbwa ni yule aliye acha kuwa mtumishi wa kiroho na kuwa mtumishi wa chama na serikali

Kwa sasa unasema tuna bweka maana tayari una roho iliyo kuvaa Uzinzi /Madaraka/uongo

Askofu DESMOND TUTU alisha wahi kusema dini ni kama kisu unaweza kukatia mkate au kuumiza watu

Yawezekana kabisa unawaona waumini wako ni mbwa au mbuzi pale unapokaa madhabahuni kwa dini iziizi zimekuwa mlango wa kupumbaza na kuhalalisha mateso kwa wa Tanzania kama walivyo fanya enzi za wakoloni

Gwajima ao mbwa wanao bweka ndo walio shinda uchaguzi ngazi zote ila ukapewa wewe ubunge haramu kwa nguvu ya dola
ukaenda kuapa kwa Bible ileile inayo unayo tumia madhabahuni kuubiria haki

Ao mbwa ndo wanao kuletea sadaka hatimaye umekuwa tajiri wala uwaoni ni watu tena

Ao mbwa ndo wanao lipa kodi mishahara inalipwa apo bungeni ndo maana ukujali ukaapa kuingia kwa jasho damu na dhulma

Gwajima sisi mbwa tunakuuliza kuna mahusiano gani kati ya shetani na icho chama unacho kitumikia sasa?

Gwajima sisi ma mbwa tunakuuliza umeyaona haya yakitokea mauaji mateso kwa wapinzani uka kaa kimya kumbe ulikuwa unaona ni ma mbwa wana teseka?

Ivi nani mbwa kati ya yule aliye wekwa ndani kwa tuhuma za madawa ya kulevya baadae kidogo baada ya kuwekewa tonge mdomoni ndo anawalamba miguu?

Sisi mbwa atuta choka kupiga kelele ndo kazi yetu maana sisi ni bora kuliko mbwa aliye pewa mnofu atulie kimya.
 
Mr. Purpose

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
869
1,000
Mama Rwakatare (RIP) alikuwa mchungaji na mbunge pia sijawahi sikia skendo za ajabu kwake mpaka mauti yanamkuta.

Hawa wengine naona hawaelewi hata nini wanafanya, maana wanatumia Madhabau kwa maslahi yao binafsi.
 
OTTER

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
383
250
YAWEZEKANA WEWE NDIYO JIBWA LINALOBWEKA NYUMA YA KIBODI. ASKOFU HAJA SEMA WANANCHI, SIDHANI ITAKUWA NDIYO IWAPO WEWE NIMIONGONI MWA WALIOPANGA KUINGIA BARABARANI NA KUCHOMA MATAILI NA VISIMA VYA MAFUTA, WATU WENYE NIA OVU YA KUHATARISHA MAISHA NA KUJITANGAZIA KUWA AMETISHIWA KUTEKWA NADHANI LABDA NAYEYE AWEKWE KWENYE KUNDI LA JIBWA. Maendeleo hayana vyama...
 
paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
3,455
2,000
Kwako GWAJIMA

Kwanza tulianza kusikitishwa na video zako za ngono na wengine tukiamini wewe ni mtumishi wa mungu

Leo umeita wananchi (MBWA) hadharani kumsherehesha aliye kupa ubunge wa kuteuliwa

Napenda kukwambia wananchi walio dhulumiwa uchaguzi kuumizwa kufungwa kuuwawa sio mbwa

Mbwa ni mtu aliye kuwa mtetezi wa watu lakini baada ya kutupiwa nyama na kusahau alicho kuwa ana hubiri

Mbwa ni yule aliye acha kuwa mtumishi wa kiroho na kuwa mtumishi wa chama na serikali

Kwa sasa unasema tuna bweka maana tayari una roho iliyo kuvaa Uzinzi /Madaraka/uongo

Askofu DESMOND TUTU alisha wahi kusema dini ni kama kisu unaweza kukatia mkate au kuumiza watu

Yawezekana kabisa unawaona waumini wako ni mbwa au mbuzi pale unapokaa madhabahuni kwa dini iziizi zimekuwa mlango wa kupumbaza na kuhalalisha mateso kwa wa Tanzania kama walivyo fanya enzi za wakoloni

Gwajima ao mbwa wanao bweka ndo walio shinda uchaguzi ngazi zote ila ukapewa wewe ubunge haramu kwa nguvu ya dola
ukaenda kuapa kwa Bible ileile inayo unayo tumia madhabahuni kuubiria haki

Ao mbwa ndo wanao kuletea sadaka hatimaye umekuwa tajiri wala uwaoni ni watu tena

Ao mbwa ndo wanao lipa kodi mishahara inalipwa apo bungeni ndo maana ukujali ukaapa kuingia kwa jasho damu na dhulma

Gwajima sisi mbwa tunakuuliza kuna mahusiano gani kati ya shetani na icho chama unacho kitumikia sasa?

Gwajima sisi ma mbwa tunakuuliza umeyaona haya yakitokea mauaji mateso kwa wapinzani uka kaa kimya kumbe ulikuwa unaona ni ma mbwa wana teseka?

Ivi nani mbwa kati ya yule aliye wekwa ndani kwa tuhuma za madawa ya kulevya baadae kidogo baada ya kuwekewa tonge mdomoni ndo anawalamba miguu?

Sisi mbwa atuta choka kupiga kelele ndo kazi yetu maana sisi ni bora kuliko mbwa aliye pewa mnofu atulie kimya.
Mkuu ni maneno ya Sir Winston Churchill, “If you have a destiny and you stop everywhere throwing stones to the dogs that are barking at you, you won’t arrive to your destiny.”

Iweje unataka kumbebesha nzigo mtu mwingine?
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
3,560
2,000
Huyu Askofu Gwajima mwisho wake utakua mbaya sana, atakuja kufedheheka na kudharaulika sana, na chanzo kitakua ni kujificha katika "KIVULI CHA DINI" ili afanye "USHETANI WAKE".
 
G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
4,644
2,000
Kweni waTanzania mnaishaga visingizi,majungu na roho mbaya nyie? Kweni hata wewe ukiitwa mbwa unakua mbwa?
 
Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
585
1,000
CHADEMA inaungwa mkono na watu wengi wenye upeo mdogo sana na ni negative minds pia hawajisomei vitabu! Sasa huo msemo wa Winston Churchill aliotumia Askofu Gwajima imeshakuwa eti kawaita Mbwa! Ficheni upumbavu wenu!
 
Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
3,443
2,000
Actions speak louder than words

Speaker anapomteua a polished politician like Makamba to present a tribute speech on behalf of parliamentarians to the appointed PM. Ina maana anategemea maneno ya busara kutoka kwake and tasteful accolades towards the PM.

Speaker huyo huyo anapomteua mtu kama Gwajima atoe a tribute speech kwa raisi kwa niaba ya wabunge it says a lot what the speaker and his colleagues think of the president.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
21,506

Binafsi nilishangaa kwanini nafasi ya kuzungumza baada ya Raisi hawakupewa wabunge wazoefu.

Huenda Spika alikua na nia njema ya kumpa nafasi Gwajima aonyeshe kipaji chake, lakini kwa bahati mbaya Gwajima akaharibu.

Maneno aliyatumia Gwajima, pamoja na kwamba amenukuu toka kwa Winston Churchill, sidhani kama yalikuwa yanafaa kwa mazingira ya sasa ya siasa zetu. Mzungumzaji mzoefu na mtu mahiri ktk siasa hawezi kutoa kauli ya namna ile baada ya uchaguzi mkuu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom