Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kutokana uchaguzi huu ulivyokwenda, binafsi naona kuna uwezekano wa asilimia 70 mpaka 80 wa wahisani na mashirika ya fedha ya kimataifa, kusitisha kutoa fedha zao kwa hii serikali unless...
18 Reactions
40 Replies
4K Views
Muda ni kuanzia saa 5 asubuhi Eneo ni Ofisi ndogo za Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi Lumumba Jijini Dar es Salaam Tafadhali usikose Tafadhali mjulishe Mwenzako Tuna Jambo Letu
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Mara baada ya rais Magufuli kuapishwa alisikika akisema atahakikisha anaufuta upinzani ifikapo 2020, ni kweli amefanikiwa kwa kiasi fulani, lakini madhara ya kuua upinzani ni makubwa kuliko kuwa...
53 Reactions
94 Replies
10K Views
NI KAMA USHAMBA TU LEO AFRIKA KUSHABIKIA ICC? Na Elius Ndabila 0768239284 Msamiati wa ICC umekuwa maarufu sana Tanzania kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Ninaamini wapo ambao wanalitamka neno ICC...
15 Reactions
126 Replies
8K Views
...that is the question. He’s been quiet for a good minute now since his aspiration to become an MP didn’t come to fruition. During his ‘governorship’, some wondered whether he had some sort of...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Leo Mwenyekiti Taifa wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ataongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM. Je, tutegemee nini kutoka kikao hiki? Fuatilia mada hii...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu, madelo ga wiza; Katibu wa itikadi na uenezi CCM comredi Polepole alijichukulia umaarufu sana katika kipindi kilichopita wakati wa kampeini hasa kwa matamko yake ya kuwananga wapinzani...
5 Reactions
50 Replies
9K Views
Baraza la Mawaziri limetangazwa Zanzibar lakini nimeguswa na majina matatu Jamal Kassim na Rahma Kassim inasemekena hawa ni watoto wa Mzee Kassim Ali. Huyu mzee kassim Ali ni nani pale Zanzibar...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
According to the State Department, overall U.S. bilateral assistance to Tanzania, not including food aid, totaled an estimated $426 million in FY2019 and $548 million in FY2020. The Trump...
47 Reactions
428 Replies
76K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na ACT-Wazalendo, vimejitoa katika uchaguzi wa udiwani kata ya Igumbilo, Manispaa ya Iringa uliopangwa kufanyika Desemba 8, mwaka huu. Kata hiyo...
7 Reactions
38 Replies
6K Views
Wanajamvi, kuwaita wafadhili wako na wahisani “mabeberu”, na kuitumia hiyo kauli mbiu kwenye siasa, ni sawa na kuwalisha chuki wananchi dhidi ya wafadhili, kwa maslahi ya kisiasa, yale ya binafsi...
18 Reactions
144 Replies
8K Views
Kiukweli sehemu moja muhimu ya kupunguza matumizi ya Serikali ni kuwaondoa manaibu waziri kwani zaidi ya kujibu maswali bungeni huwa sioni kazi nyingine ya maana wanayofanya. Katika hili...
9 Reactions
47 Replies
5K Views
Mimi sijahama CHADEMA na wala sitegemei kuhama, mimi ni Mbunge mteule kwa hiyo nitawatumikia Wananchi kwa imani ambayo waliniamini, labda chama changu kitakavyoamua kama itakuwa vinginevyo basi...
8 Reactions
38 Replies
3K Views
Natafakari yanayoendelea nchini kisiasa hatuna tena wazee wa hekima wasio na itikadi wenye weledi kushauri. Kada ya sheria waamuzi katika maandiko walikuwa watu wenye hekima na waliheshimiwa sana...
0 Reactions
3 Replies
885 Views
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limewaachia kwa dhamana watu wanane akiwemo Mtume na Nabii, Boniface Mwamposa wanaotuhumiwa kuendesha kongamano lililosababisha vifo vya watu 20 mjini Moshi...
2 Reactions
140 Replies
18K Views
TAARIFA KWA UMMA Mamlaka ya Bandari Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na vyombo vingine vya Dola, tarehe 2 Januari 2014 majira ya saa tatu asubuhi kwenye...
24 Reactions
183 Replies
22K Views
Toka serikali ya awamu ya 5 imengia watumishi wa umma zaidi ya laki 5 hawakuwahi kupandishiwa mishahara wala madaraja lakini kuna kundi la watumishi wachache sana nchi hii wameneemeka na serikali...
16 Reactions
30 Replies
7K Views
Hata hatujafika mbali sana, tayari wanaanza kusema waziwazi wenyewe mbinu haramu na za wizi wa kura walizotumia kushinda uchaguzi huu. Katika video hii inayomwonesha mbunge mpya wa CCM - Jimbo...
22 Reactions
77 Replies
7K Views
Na Mwandishi wetu Mihambwe Jitihada za kuanzisha na kuboresha upatikanaji wa huduma za kijamii zinazidi kushika kasi ambapo safari hii Serikali imemtua Mama wa Mihambwe ndoo kichwani. Wakazi wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF, nimejaribu kuwaza sisi Tanzania katika nchi za Africa tunaosemekana kwamba ni "Third World Countries" mara nyingi tumekariri kwamba ili matokeo ya uchaguzi yakubalike na vyama vyote...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…