Yanayojiri kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kutoka ofisi ndogo za Lumumba

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,923
10,458
Leo Mwenyekiti Taifa wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ataongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM. Je, tutegemee nini kutoka kikao hiki?

Lumumba.jpg

Fuatilia mada hii kujua zaidi.
 
Yajayo yana NYEREGENDA! ! Asubuhi hii Walianza na baraza la mawaziri kikafuata kikao cha kamati kuu ! Subirini mtasikia vituko
 
intelejesia haijaona hatari kwa uwepo wa huo mkutanoa na kuuzuia? au hapa ni not applicable?
 
Back
Top Bottom