Wasalaam wana jamvi.
Bila shaka kila Mtanzania aliyepata wasaha wa kupita jangwani atakubaliana nami na Watanzania wengine kuwa Jangwani kunahitaji suluhu nyingine na si kila leo kutoa mchanga na...
Zoezi la kutaka kuonyesha kama siasa ni vita na upinzani ni uadui limeshika kasi hapa nchini!
Uwekezaji mkubwa umefanyika kwenye hili zoezi na wananchi na viongozi kwa ujumla wamejikuta wakiingia...
Hayati Baba wa Taifa inasemekana kabla ya kututoka aliweka kila kitu kwenye mstari. Ndie Rais alitwala muda mrefu na ndie Rais aliona mengi nakujuwa mengi kuliko watangulizi wake.
Kutokana na...
Wakati wanazindua mzigo mpya 'Bazzika' walijifanya wanapunguza bei za vifurushi lakini kiukweli WAMEPANDISHA BEI.
Hawa ni wapigaji kama wapigaji wengine. Wangebakiza channel za vifurushi husika...
Nawashauri CHADEMA watumie mwanya huu kujenga hoja kuwa zile trilioni 2 ambazo zingeliletwa Tanzania kwa sharti la kuwepo wapinzani Bungeni, basi wapewe wapinzani wajenge vyama vyao.
Najua ni...
Yawezekana kuna upotoshaji wa makusudi kabisa juu ya uwepowa viti maalum bungeni kuwa ni nafasi wanazopewa vyama vya Siasa kuchagua Wanawake wa vyama hivyo kuingia Bungeni kama Wawakilishi wa...
Katika hali ya kushangaza Dunia, mahakama ya hakimu mkazi Arusha,imesema haina mamlaka ya kutoa dhamana kwa Washtakiwa 20 ambao ni wanachama na viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na Kesi no 72,75...
Mahala popote kwenye maisha ya binadamu lazima uwe na uwezo mkubwa wa kureason ili uweze kufanya maamuzi. Na kila mara mara good reasoning huleta majibu sahihi.
Ndio maana kuna baadhi ya maamuzi...
Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, amesema ugonjwa wa corona umekuwa kisingizio katika ukusanyaji wa kodi licha ya kwamba inaonyesha hakuna jitihada za makusudi kufikia lengo.
Akizungumza juzi...
Mfano huu wa Spika Ndugai wa Mbunge wa Uingereza kuapishwa akiwa "mahututi" hospitalini na kwamba alikufa hapo hospitalini bila kukanyaga Bungeni unafikirisha.
Mstaafu Msekwa alisema Spika ni...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo, amesitisha likizo za wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri za mkoa huo, hadi watoto waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza...
Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele.
ACT-Wazalendo wajiunge na...
1. Mtu ni Mwanasheria kabisa lakini Kuzungumza mbele ya Press huwezi na unabaki Kuhangaika hangaika tu.
2. Hueleweki hata unataka kusema nini mbele ya Press na unabaki Kuzunguka zunguka tu.
3...
Katika mahubiri yake ya kufunga mkutano mkuu wa sinodi ya DMP ya Kanisa la KKKT, askofu mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglican baba Donald Mtetemela amesema Wakristo tunapewa ili tutoe na Hatutoi ili...
Twaha Mwaipaya, Mratibu wa Uhamasishaji Baraza la Vijana wa CHADEMA Taifa (BAVICHA) ambaye pia aliwekwa magereza amesema Nusrat Hanje alipelekewa fomu akiwa Mahabusu
Nusrat Hanje, aliyekuwa...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haijapokea orodha ya majina ya wabunge wa viti maalumu kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Akizungumza na Nipashe jana kwa njia ya simu...
Masharti ya kiapo cha wabunge yamo katika Ibara ya 68 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ibara hii inataka, among other things, kila mbunge kuapishwa katika Bunge (English version...
Na, Malisa GJ
Press ya Halima imeongeza maswali mengi kuliko majibu. Amezungumza vitu vingi lakini "theme" ya press yake haieleweki. Hata yeye ukimuuliza "theme" ya Press yako ilikua nini hawezi...