Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,398
- 2,990
Masharti ya kiapo cha wabunge yamo katika Ibara ya 68 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ibara hii inataka, among other things, kila mbunge kuapishwa katika Bunge (English version: before the National Assembly).
Kwa maoni yangu, phrase “kuapishwa katika Bunge...” ilikusudia kulipa Bunge uwezo wa kuendesha viapo vya wajumbe wake (wabunge) lenyewe, kwa sababu kuna namna nyingi za mtu kuapishwa. Mtu anaweza kuapishwa na judge, Rais au mamlaka nyingine yoyote. Kwa hiyo, ilikuwa muhimu kulibainisha hili.
Sasa tuangazie, kwa ujumla, eneo la parties to an oath. Kiapo chochote kina washiriki wa lazima wawili, ambao ni oath administrator na oath taker. Oath taker anaapa na kusaini oath document. Oath administrator anathibitisha hicho kiapo kwa yeye pia kusaini hiyo oath document.
Kitendawili kinachohitaji kuteguliwa ni hiki: Did the drafters of the Constitution really intend to make the entire National Assembly to be the oath administrator? If the answer is yes, maana yake oath taker (mbunge) ataapa na kusaini oath document na wabunge waliobaki (masharti ya quorum ya vikao vya Bunge yakiwa yametimizwa) watathibitisha hicho kiapo kwa kusaini pia hiyo oath document.
Kwa maoni yangu, I don’t think that the drafters of the Constitution really intended to make the entire National Assembly to be the oath administrator. Sio kwamba haiwezekani kufanya hivyo. Swala ni kwamba, what purpose does it serve, ukizingatia kiapo cha mbunge sio legislative action wala azimio la Bunge? Hapo lazima kuwe na practical expedient.
Hapa ndipo Kanuni za Kudumu za Bunge zinapohitajika kusaidia utekelezaji wa masharti ya kiapo cha wabunge yaliyomo katika Katiba. Hiyo practical expedient ni kwamba mbunge (oath taker) anaapa mbele ya Spika (ambaye ndiye anakuwa oath administrator kwa niaba ya Bunge).
Conclusion yangu ni kwamba Kanuni za Kudumu za Bunge hazijakiuka masharti ya Katiba ya kiapo cha wabunge. It isn’t unconstitutional for the Speaker to administer the oath of members of parliament when the National Assembly isn’t in session!
Kazi ya kutafisiri sheria ni ngumu. Ukiishia kwenye literal meaning ya neno linalosomeka kwenye sheria husika, mara nyingi, utachemsha!