Ndugu zangu watanzania awali ya yote nimshukuru Mungu muumba wa mbingu na nchi kwa kutupa pumzi kama Taifa Leo tupo hakika ni utukufu kwake.
Awali ya yote niwausie na kuwashauri vijana wa SASA...
Sintofahamu inayoendelea katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimegubikwa na sarakasi na nadharia nyingi. Moja ikiwa viongozi wa kamati kuu wanafanya usanii kwa kujidai kuwafukuza...
CCM IWAACHIE WANA-CUF INAOWASHIKILIA LIWALE NA KUWABAMBIKA KESI NGUMU
CCM inajua kwamba haikushinda Uchaguzi Jimbo la Liwale na kwenye kata nyingi za Jimbo hilo. CCM ilitumia Vyombo vya dola...
Binafsi naomba nisikubalieni na wewe (ACT kukukubali kujiunga SUK) kwa sababu zifuatazo. Imeandikwa na Abdulrahman A. Mohamed. Huu ni uchaguzi wa tano, na kwa msimamo wa CUF/ACT miaka yote CCM...
Mamlaka zote duniani zinazofinya haki, uhuru wa kujieleza, uhuru wa kujumuika, demokrasia, nk hufanya mambo yanayofana kama vile: kutumia Majeshi na Idara za Usalama kuwadhibiti, kuwatisha na hata...
Kuna suala la hawa Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA ambalo wote naona tunalisahahu kulidadavua.
Ibara ya 78(4) ya katiba ya Tanzania inasema hivi
"Orodha ya majina ya wagombea wanawake...
Tanzania’s experience points to how a fully empowered autocrat can demolish a country’s constitutional system.
SOPHIE NEIMAN Nov 30
When veteran opposition leader Tundu Lissu returned to...
Kufuatia matamshi ya Spika wa bunge leo bungeni wakati akiwaapisha wabunge wateule Humphrey Polepole na Bi. Riziki, ambapo Spika amewahakikisha ubunge wabunge 19 wa viti maalum waliovuliwa...
Tangu chaguzi za vyama vingi zianze mwaka 1995 vyama vya upinzani vimekuwa na malalamiko na madai hayohayo ya kuibiwa kura na tume isiyokuwa huru, lakini vyama vya upinzani havijaacha kuhudhuria...
Kwa kadiri ninavyoliona sakata la akina Mdee naanza kuelewa kuwa lengo kuu ni kuua Upinzani. Baada ya uchaguzi inaonekana bado katika mioyo ya watu bado
Kuna Upinzani tatizo ni aina ya watu...
Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"
Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema...
Tuliwahi kusema humu kwa sera za CCM hii na namna yao ya ufanyaji kazi kamwe Tanzania haitofikia kuwa nchi yenye maendeleo ya kweli ya wananchi na nchi kwa ujumla.
Duniani kote, nchi zilizopiga...
Dkt. Bashiru ametoa kauli hiyo wakati akifungua mkutano wa Kamati za Jumuiya za Chama hicho uliofanyika leo jijini Dodoma ambapo amesema kuwa, vyama vya upinzani vilikuwa na wagombea wengi...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuutarifu Umma kuwa; kwa mujibu wa Kifungu cha 37 (3) cha Sheria ya...
Mabibi na mabwana kama nchi tumepwelewa sana katika hili la maridhiano. Kwa hakika matatizo yetu kama nchi yako hapo na ndiyo maana tuko hapa tulipo na sasa kama mazuzu tu.
Mbowe ameonyesha kwa...
DAKIKA YA 89, KAMATI KUU YA CHADEMA 0 MH MDEE 5
Na Elius Ndabila
0768239284
Ingekuwa ni mchezo wa Soka ningeweza kusema hivyo kuwa Kamati Kuu ya CHADEMA 0 na Mh Mdee 5, hasa baada ya press yake...
Nimekuwa nikijiuliza sana kwamba World Bank wanatupenda sana wafadhili mradi kama huo mkubwa kwa asilimia mia moja bila wao kujua kitu?
Mabeberu ninaowajua mimi watuache tufaidi? Hapana nakataa...
Rais Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa mitano, kwa mujibu wa mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu Namba 61(1) cha Katiba ya Zanzibar
Salama Mbarouk Khatib ameteuliwa kuwa Mkuu wa...
Binadamu aliyekamilika anahitaji amani ya nafsi ili aweze kusherekea matumizi mazuri ya kipato alichonacho.
Upo Uhuru mkubwa unapoishi kwako kuliko unapokuwa nyumba za kupanga hasa hizi ambazo...