Wanasiasa kama Tundu Lisu mnapotumia msamiati wa " Jalalani" mnakosa uzalendo kwa UDSM!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"

Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.

Maendeleo hayana vyama!
 
Huu simpati ulishakuwepo mkuu

Maendeleo yanayo Chama
 
Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"

Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.

Maendeleo hayana vyama!
KABUDI ndiyo alisema "jalalani" na yule RC wa Morogoro mwenye phd ya UDSM alilia kama mtoto bada ya jiwe kumtosa, watu wa udsm hawana elimu ya kujitegemea.
 
Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"

Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.

Maendeleo hayana vyama!
Mmejidharau wenyewe kwa kujiita hivyo, Lissu ananukuu tu.
 
Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"

Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.

Maendeleo hayana vyama!
Ni kwanini UDSM inahusishwa na jalalani???

Tuanzie hapo kwanza.
 
Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"

Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.

Maendeleo hayana vyama!
Comrade hapa unajizalilisha tu mzee Pombe ambaye ni mwenyekiti wako wa CCM ameuvagaa mkenge mwenye huu usemi wa jalalani uliletwa na Profesa wenu wa dampo almaarufu profesa kabudi.
 
Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"

Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.

Maendeleo hayana vyama!
Acha mambo yako ya kishamba kuumauma maneno. Anahusisha wa jalalani na Udsm? Au watu wote? Mana alisema JPM awape kazi wa majalalani sio yeye.
Any way umeahuhudia mtiti Zakheim?
 
Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"

Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani alienza kusema raisi amemtoa jalalani ni nani? Tuanzie hapo mleta mada
 
Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"

Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.

Maendeleo hayana vyama!
Hujui muasisi wa hilo neno? Kwa upendo nikuambie ni le proffesseur macho kodo, wakati akishukuru kwa kuokotwa humo ‘jalalani’!
 
Back
Top Bottom