Rais Hussein Mwinyi afanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa mitano

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Rais Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa mitano, kwa mujibu wa mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu Namba 61(1) cha Katiba ya Zanzibar

Salama Mbarouk Khatib ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Rashid Hadid Rashid atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja

Dkt. Mwinyi amemteua Ayoub Mohamed Mahmoud kwa Kaskazini Unguja, Idrisa Kitwana Mustafa Mkoa wa Mjini/Magharibi na Mattar Zahor Masoud ameteuliwa kwa upande wa Kusini Pemba

1606828017067.png
 
Back
Top Bottom