Nimefurahi sana kwa Askofu Gwajima, Gambo, Kigwangalla na Makonda kukosa Uwaziri

Hofu-less

JF-Expert Member
May 19, 2014
520
1,031
Pamoja na kwamba hata hao waliopata hawawezi kunisaidia chochote hence kila kitu kinaamriwa kutoka huko "juu"
Na kuwa wapo tu kutimiza takwa la kikatiba, ila sote tulishuhudia nchi ilikwenda tu fresh Bila wao.

Kipekee siwezi kuwa mnafki nimefurahi wafuatao kukosa uwaziri maana tungeringishiwa mpaka Basi.

1. Gwajima (Rashidi)
2. Gambo
3. Kigwangala
4. Makonda

Kiasi nimejisikia afadhali.
 
HK analewa madaraka ndiyo raha yake, ila waliomba ajira ya ubunge koo acha watumikie wananchi wao na si uwaziri
 
Kigwangallah itabidi akapate ushauri kutoka kwa akina Simbachawene na Mwigulu nini afanye baada ya kula kibuti ili mzee amkumbuke tena wakati wa reshuffle
 
Hao soon utawaona barazani, yani wapo sub tu

Kumbuka kuna mtu kutumbuliwa😁😁😁
Kwa hiyo maumivu yapo palepale😂
 
Gambo sijui anajisikiaje alikuwa anatamba kwamba ametumwa agombee apate uwaziri
Pamoja na kwamba hata hao waliopata hawawezi kunisaidia chochote hence kila kitu kinaamriwa kutoka huko "juu"
Na kuwa wapo tu kutimiza takwa la kikatiba, ila sote tulishuhudia nchi ilikwenda tu fresh Bila wao...
 
Unajisikia afadhali kwa jambo la kijinga kabisa. Ila unawakilisha watanzania wengi. I mean watanzania wengi wana hulka kama yako na ndiyo maana wanasiasa wanaendelea kutuchezea.

Wengi wameshasau uchaguzi ulivyokuwa wa kihuni na wameshamia kwenye mambo ya uteuzi na kufurahia. BTW hao watu wanaweza kuja kuteiliwa muda wowote. Utafanya nini?
 
Makonda atapatakazi nzuri tu huyo sio mwenzako
Kazi gani nziri mzee baba uwaziri ndio kazi nzuri sasa kazi gani nzuri tena kwa magu ndio imetoka hiyo nafasi za ubunge kabakiza nafasi tatu kwa wanaume akikosa na hizo asubiri tena ukuu wa mkoa
 
Back
Top Bottom