Hata baada ya kupigwa ‘stop’ na boss wake Kigwangalla bado anaendeleza bifu na ‘MO’

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Hizi twita ni za leo za Kigwangalla.

“Bilionea hawezi kuwa na roho ya kichawi namna hiyo; mkopo umemnyima mtu halafu unamtangaza, why? Kwani yeye huwa hakopi?” Hamis Kigwangalaah.



“Waambie waache kunifuata fuata kwenye kurasa zangu! Mjadala wa Simba tumeuahirisha mpaka November kupisha uchaguzi, sasa wanaambizana kwenye magroup yao waje wanishambulie. Nina taarifa zote”. Hamis Kigwangallah.

“Mimi ni jeshi la mtu mmoja. Novemba ntaufufua huu mjadala, and I will go personal will go personal on him at the right time. And since he is sending mercenaries to attack me, I will chill for now, but they will enjoy to know the intricacies of their man when I lay him bare”. Hamis Kigwangallah.

“Baada ya kampeni kuisha tutajibu shambulio ‘personal’, tuna mambo mengi ya kusema. Mengi. Tutaujulisha umma. Kwa sasa acha waendelee kutukana. Muda utafika wataomba poo! Kwa sbb kama bilionea alishindwa kukopesha pikipiki 16, hatoweza kuwa amelipa b20 hizi siku 48 zilizobakia”. Hamis Kigwangalla.

Uchaguzi 2020 - Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli
 
Kwanini mnataka kumpangia Hamis cha kupost kwenye personal àccount yake? Angekuwa anafanya hivo kwenye account za ofisi mngelalama, Nje ya uwaziri Hamis nae ana personal matters zake na nafurahi jamaa ni mshikaji na ni mtu wa kupenda kujichanganya, He is still young so anapenda interaction na mijadala
 
Hivi katika maisha kwani ni lazima mtu akikwambia X lazima na wewe umjibu Y? Au ndio kutafuta trending au ndio political mileage zenyewe?
 
November ni karibu sana Kigwa, wakati huo utakua unaulazimisha ubongo wako ukubali kuwa CCM ni chama cha upinzani na pia utakua na kesi mahakamani kuhoji kupita kwako bila kupingwa.
Kila mwanadamu anaruhusiwa kuota ndoto akiwa amelala, cha ajabu nyie mnaota mkiwa macho. What phenomenon
 
Kwanini mnataka kumpangia Hamis cha kupost kwenye personal àccount yake? Angekuwa anafanya ivo kwenye acc za ofisi mngelalama, Nje ya uwaziri Hamis nae ana personal matters zake na nafurahi jamaa ni mshikaji na ni mtu wa kupenda kujichanganya, He is still young so anapenda interaction na mijadala
Ni kiongozi, anatakiwa kutumia muda huo kuwangoza wahitaji badala ya kujibizana na mjinga mmoja asiyejitambua. Mwambieni mo yule jamaa yake na komo beach yake waliishia wapi? Mo anajiona mjanja sana.
 
Kigwangalla ana inferiority complex and he's egotistical. Mara paap Mo kaachia timu atatafuta nchi ya kuishi
 
Mashabiki wa Simba wana uelewa mdogo sana hawana utofauti na mashabiki wa Chadema yanaibiwa huku yanashangilia tu kama mazuzu.
Unafii..rwaaaa chadema imeingiaje hapo ? Au ushazoea kukalia moja ndio maana wa washwa?
 
Back
Top Bottom