Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanajanvi hii ni special thread ya pongezi kwa His Exc. Magafuli kwa udhati wa kutusaidia wanabagamoyo pamoja na kuwa Mwanawetu mwenyewe alikuwa Rais, Mwanawetu Mwenyewe alikuwa Waziri wa Ujenzi...
13 Reactions
55 Replies
8K Views
TAARIFA KWA UMMA WA TANZANIA JUU YA MAPUNGUFU YA CHAMA CHA WAKUU WA SHULE (TAHOSSA). UTANGULIZI. Ndugu waTanzania na wananchi wa Taifa letu la Tanzania ambao mnapenda kuona chachu kwa...
3 Reactions
49 Replies
10K Views
Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahimu Juma amewataka mawakili 166 wapya walioapishwa leo kuziishi kanuni na maadili akiwataka kuwajibika kwa mujibu wa Katiba ya nchi ambayo ndiyo sheria mama...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwaka 2020 utakumbukwa sana katika historia ya bunge kwani katika mkutano mmoja wa bajeti wabunge watatu walifariki. Rip Dkt. Rwakatale, Rip Ndassa, Rip Dkt. Mahiga Kadhalika 2020 tumeshuhudia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sijasikia zuio la mikutano katika awamu hii ya pili ya Mzee Magufuli. Ila wapinzani wameendelea kufurahia zuio maana liliwapa unafuu wa maisha na wajibu. Jinsi mataifa ya nje yanavyotutolea macho...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Taifa linapokuwa na mkuu wa nchi msemakweli linakuwa ni taifa zuri, maana hamumunyi maneno bali anaweka mambo wazi. Alipokuwa anawaapisha mawaziri wa wa cabinet ya Tanzania mkuu wa nchi yetu...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Sera ya sasa ya elimu na mafunzo inayolenga kutoa elimu ya msingi kwa wote "Universal Primary Education For All" ni sera mbovu inayozalisha matatizo nchini. Awali, sera ya elimu ililenga kutoa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni miaka karibia mitano sasa viongozi wamekuwa wakijichukulia sheria mikononi na hakuna kiongozi wa kisiasa wa juu anayekemea Jambo linaloashiria wahusika wanatekeleza msimamo wa serikali...
28 Reactions
111 Replies
12K Views
Ninaliona tatizo kubwa la kimawasiliano kati ya mbunge jimboni na mbunge bungeni. 1. Hebu jiulize, mmbunge wako wmamewahi kufanya mikutano mingapi jimboni kusikiliza kero za wananchi? Na je...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Uongozi wa kanisa la Philadelphia Gospel Assembly, kupitia Kamati Kuu na Halmashauri Kuu imemtunukia tuzo ya uongozi Rais Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kuridhishwa na utendaji kazi wake...
2 Reactions
75 Replies
11K Views
Kamishna Mkuu wa TRA Dkt. Edwin Mhede amepokea orodha ya huduma za malazi iliyoboreshwa 2020 kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki ili kuiwezesha TRA kukusanya...
17 Reactions
192 Replies
24K Views
Simba Sc klabu " Baba la Baba " likiwa linakwenda cheza mechi za kimataifa huko Nigeria na Plateu FC, inatarajia kuondoka Leo 24-11-2020 11:45 jioni kutokea Mkoa uliotengwa kimaendeleo kwa wivu wa...
22 Reactions
180 Replies
20K Views
Wanachama 20 wa CHADEMA wanaendelea kusota rumande katika gereza la Kisongo baada ya wakili wa serikali mkuu Bwana Chavula, kueleza kuwa mahakama ya hakimu mkazi mfawidhi haina mamlaka ya kutoa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Serikali yangu, Salaam! Dhamira yenu kuhusu katika utawala wenu kuongeza mabilionea wapya ni nzuri, endelevu, zenye baraka. Lakini huenda dhamira na nia zenu zisilete matokeo chanya pale...
0 Reactions
2 Replies
668 Views
Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu...
92 Reactions
365 Replies
35K Views
Hivi hawa IDU wana mamlaka gani ya kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania? Wao ni akina nani? Tanzania ni dola huru na nchi ambayo inajitawala. Kwa nini watoe Tamko la kuwasemea Chadema mambo...
0 Reactions
67 Replies
5K Views
Maisha yanavyokimbia kila Jambo unalofanya linapaswa kuwa kwenye maandishi. Kila jambo unalolipa linapaswa kuwa kuwa na risiti. Kila kazi unayofanya unatakiwa kuwa na cheti kwa maana umekaa...
17 Reactions
25 Replies
3K Views
This is the head of @ccm_tanzania youth wing in Iringa region - Kenami Kihongosi- inciting his peers to "take action" (if need be kill) @zittokabwe for writing to @WorldBank voicing his...
7 Reactions
89 Replies
13K Views
Naomba kila mmoja wetu (Mtanzania/ Mwafrika) atafakari kwa kina maswali haya: (1) Ule uwezo wetu wa kurusha mshale wakati wa vita na mshale huo kumtafuta adui popote alipo na kumwangamiza...
0 Reactions
2 Replies
582 Views
DPP wa Tanzania amepora uhuru wa mahakama, mahakama nayo imeridhia. Ni jambo la aibu kuwa DPP anamkamata mtu anamfungulia mashtaka yasiyo na dhamana kisha kila mshtakiwa akipelekwa mahakamani DPP...
12 Reactions
30 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…