Wiki mbili zilizopita nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mahubiri ya mchungaji Matsai wa KKKT kimara kuhusu viapo.
Uelewa wa mahubiri yale ukanivuta kujifunza namna viongozi mbalimbali wanavyokula...
Na Rayson Mwaisemba WAMJW- Dodoma
Msajili wa Baraza la Famasi nchini Bi Elizabeth Shekalaghe ametoa siku 14 kwa wafamasia wanaosimamia famasi ambazo hazipo katika maeneo yao ya kazi kujisalimisha...
Wamarekani ndio hujifanya vinara wa kufundisha demokrasia na mojawapo ya haki za kibinadamu na kidemokrasia ni kuandamana kwanini Jeshi la Marekani lilizuia watu wasiandamane kwenda Ikulu...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa ambaye pia ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, Viongozi wa CCM ambao walishirikiana nao kuunda Serikali ya...
Tanzania ina mito mingi tu lakini cha ajabu hatuitumii kwa usafiri kama mito mingi ya nchi za wenzetu zikiwemo jirani zetu Congo ambako watanzania waweza pia wekeza huko kwenye usafiri wa mito...
Kauli uliyoitoa jana mkuu wa nchi yetu inatia moyo, maana umetambua wazi kuwa wateule wako wengi hawaendani na kasi yako. Mbali na hilo wengi ni wacheza maigizo kwenye luninga ya taiifa yaani TBC...
Mimi binasfi kama Mtanzania ambaye ni mtu wa kawaida naaza kupata tashwishwi juu ya Chadema, maana sasa mmebakiza unafiki wa kisiasa. Kama huyu mama mrembo ambae alikuwa mbunge na sasa bado ni...
A. UTANGULIZI
Rais wa Tanzania, John Magufuli alikuwa Mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi wilayani Karagwe na baadaye Wilayani Bukoba tangu tarehe 18 Januari 2020. Inaonekana kuwa, siku hiyo...
Na: Norbert Mporoto
Tanzania.
Katika karne ya leo kuna michezo ukichezewa hata kama ni ya kuudhi au kuumiza bado inatia hamasa kuendelea kuchezewa, kwani maumivu yake kwa asilimia tisini huja kwa...
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) afariki dunia
Thursday January 21 2021
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Manyara, Martha Umbulla amefariki dunia Januari 21, 2021 katika Hospitali ya HCG Mumbai...
Taarifa zinaonesha kwamba Mh Mtendaji anaitwa Adella na ni Mtendaji wa kijiji cha Hydom kilichopo Mbulu , mkoani Manyara.
Cha kushangaza ni kwamba Mwananchi aliyedundwa ndiye ameshtakiwa...
Chama Cha Mapinduzi kimewaalika wanachama wake wenye sifa stahiki kuomba nafasi za Spika na Naibu Spika wa Bunge, Meya wa Majiji, Manispaa na Wenyeviti wa Halmashauri ya Wilaya.
Taarifa ya CCM...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekemea tabia ya baadhi ya viongozi kujichukulia sheria mkononi ikiwamo kuwapiga wananchi wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali.
Kwa mujibu wa taarifa...
Kwa mujibu wa mbunge Godbles Lema na Waziri Kigwangalla ni kuwa mbunge wa Sumve Richard Ndassa amefariki dunia mapema leo.
Aidha taarifa zinasema kuwa Ndassa amefikwa na umauti baada ya kuanguka...
Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya
Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of...
Mh. Magufuli ameanza mizunguko yake kote nchini, na kama kawaida viongozi wengine wamekuwa wakipata shida kwa maswala anuwai, lakini zaidi ni uzembe.
Na kama kawaida, watu wamekuwa wakilalamika...
Watanzania wenzangu heri ya Mwaka Mpya 2021.
Nimewiwa kutoa mawazo yangu kufuatia kelele nyingi za " kijinga" zinazopigwa kuhusu maendeleo makubwa na ya haraka zinazopigwa Wilayani CHATO katika...
On the last day of the Trump Administration and the eve of the Biden's, the US has sent clear and unmistakeable warning to dictators who stole elections in Tanzania and Uganda: No impunity for...
Nauliza tu kwa wataalamu wa masuala ya Katiba.
Ninavyofahamu mgombea urais hupendekezwa na Chama cha Siasa na kuchaguliwa na Wananchi.
Kwa mfano Katiba ikibadilishwa na CCM wakamsimamisha tena...
Magufuli awataka wakulima wa taifa hilo kulisha dunia baada ya corona
Rais Magufuli wa Tanzania.
Rais wa Tanzania John Magufuli, amesihi wakulima nchini humo kuongeza kiwango cha uzalishaji wa...