Rais Magufuli afanya Ziara ya Kikazi Kagera, ahimiza kilimo cha kila Mazao

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
835
1,000

Salaam wakuu,

Rais Magufuli afanya ziara ya Kikazi Mkoani Kagera huko mpakani mwa Tanzania. Itamchukua Siku tatu kuuzunguka Mkoa huo

Pamoja na mambo mengine Keshokutwa kusainiwa mkataba mkubwa unaohusu mgodi wa madini ya Nickel yaliyopo Kabanga Rulenge Wilaya ya Ngara.

Rais Magufuli kasema Mkataba huu ni wa Mabiloni ya hela, amesema anasaini mkata huo ili Watu wa Kagera Wapate ajira.

Akiwa Muleba raia Magufuli amehimiza Kilimo sababu nchi imeingia Uchumi wa Kati. Ataka watu walime ili wawauzie wale wanaojifungia ndani sababu ya Corona
 

Grahams

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
1,526
2,000
Bukoba kuchele.

Tutafutane wana JF tuunde kakampuni tuombe kuwa Sub Contractor humo tuvune mahela.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom